Maandamano kumuunga mkono Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

Naunga mkono hoja huyu makamu wetu wa Raisi ni jembe anauchungu na watoto wetu anataka haki ya elimu hata kwa wale wenye madoa maandamano ni muhimu sana
 
Kama katiba ndio inasema uandamane kwa kila kitu basi endelea kuandamana.
Kila kitu kama nini na nini?Tuseme mwaka huu,umesikia maandamano mara ngapi kwenye masikio yako??Kweli hii level ya FB imeingia JF,huwezi kujenga hoja!
Katiba imetoa haki ya maandamano,haijalishi yanakupendeza wewe au hayakupendezi!Siku yakikugusa andamana,kama hayakuhusu wala kukupendeza kaa kando waache wenye ngoma waicheze!
 
Halafu iweje, itifaki ya nchi imetamka no, hata azimio la arusha, kambona alikimbia nchi, usilete uchonganishi, mama Samia alitoa maoni yake haikuwa agizo au sheria
Ya mkulu siyo maoni ni agizo...!!
 
Kila kitu kama nini na nini?Tuseme mwaka huu,umesikia maandamano mara ngapi kwenye masikio yako??Kweli hii level ya FB imeingia JF,huwezi kujenga hoja!
Katiba imetoa haki ya maandamano,haijalishi yanakupendeza wewe au hayakupendezi!Siku yakikugusa andamana,kama hayakuhusu wala kukupendeza kaa kando waache wenye ngoma waicheze!
Mm sina nia mbaya ila nilikuwa nataka nikuokolee muda wako.
Ila kwasababu umeniona mm nina akili ndogo kama ya fb basi sawa.

Ila watoto wako ipo siku watakuja kukuuliza maswali magumu sana na utashindwa kuyajibu.
 
Wala usijisumbue,pengine tungekuwa tunajuana,ungeweza ona kwamba wewe ndio ulipaswa uokoe muda wako badala ya kudhani unaniokolea muda mimi!
Hayo maswali magumu wataniuliza kama hawatapata malezi bora,kama hawataenda shule nzuri!Usidhani kila mtu kavaa viatu kama vyako!Pole sana kwa changamoto ndio maisha!
 
Mimi napendekeza maandamano ya kumsifu Bashite kwa kung'oa bango la Wanyama street.

Na mimi ningeshiriki maandamano ya kumuunga mkono Daudi Albert Malyangili kwa kuvunja mabango ya mtaa wa Victor Wanyama.
 
Halafu iweje, itifaki ya nchi imetamka no, hata azimio la arusha, kambona alikimbia nchi, usilete uchonganishi, mama Samia alitoa maoni yake haikuwa agizo au sheria
Hayakuwa maoni yake, hapa tusijaribu kuficha ugonjwa (in Nyerere's voice). Alichokuwa anafanya Mama Samia ni utekelezaji wa Ilani ya CCM iliyoahidi wakati ikimwombea kura Magufuli 2015. Tusiwe washangiliaji wa kila kitu!
 
Kweli kabisa,mama alikuwa kwenye utekelezaji wa ilani!
 
Nyie andamaneni mkija hospital baada ya kuvunjwa miguu sie in kukata hakuna kuremba
Ndio,well itabidi ulishawishi jopo la madaktari sababu za wewe kuamua kukata mguu!Pia kukata mguu wa mtu sio kitu kidogo kama unavyofikiria!Wewe utakuwa fundi makanika ila unajaribu kuleta figisu
 
Wadau napendekeza maandamano kote nchini kwa wale wanaokubaliana na kauli ya makamu wa Rais kuwa watoto hawapaswi kuhukumiwa kwa kubakwa bali wale waliofanya unyama huo!
Tumuunge mkono kwa kutaka watoto hawa wapewe nafasi ya kupata elimu!Maneno hayo aliongea kwa uchungu mkubwa kama umemsikia hapo juu kwenye video!

Haya yatakuwa maandamano ya amani ya kumuunga mkono so tuna imani hatutapata usumbufu wowote!
Karibuni wadau tujadili namna ya kufanya maandamani haya!Akina mama tunawategemea sana kujitokeza!

Mtapigwa tuuu!!

Jaribuni mwone cha moto. Sasa hivi wanaoruhusiwa ni wale wanaoshabikia ugoro!!
 
Back
Top Bottom