Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

Status
Not open for further replies.
usinione nina huzuni sana.

Hapa sina nguo naandamana kuanzia jukwaa la wakubwa, napitia complaint naelekea chit chat naenda kutoa tamko kule jukwaa siasa.

Asprin naye bana,we unakula na kipofu kisha unamshika mkono? Halafu we kongosho nasikia ban ya asprin umeifurahia eti kwa vile alikubwagwa shauri ya yeye kuopoa ka chicken spring jf.
 
nawaalika wote kupokea maandamano kule jukwaa la siasa, ila hutakiwi kuwa na nguo.

tahadhari kwa akina baba chungeni tai zenu viunoni kuna mapaka kule yasije yakadhani panya buku wananing'inia.

Kongosho onea huruma mbavu za ODM...
 
mume wangu pole kwa kupakwa gundu, kagua kagua imekuponza.......

Hapa nipo kwa karumanzila napulizia mod aliyembani my Asprin asioge mwezi mzima

Hah! Tayari ushakuwa mke wangu? Kuna mtu alinambia we ni mke wa Asprin tayari.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka mpaka barmed wamekuja mezani kujua kama nina tatizo!...
Aisee ww ni (mshenzi)...neno mshenzi limetumika kama kisifa!

sikutaka kukomenti chochote lakn da! Kongosho umeniweza asee! Jf ni zaidi ya burudani
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom