Maandamano kudai babu ODM aka Asprin atolewe gerezani!!!

Status
Not open for further replies.
Aisee,kwani asprin kafanya nini jamani mpaka afungiwe? Au alipotea maboya akaenda jukwaa la siasa? Nshampa angalizo kuhusu hatari za kwenda huko,ona sasa.Inauma aisee.

hapana mod kaona ile picha aliyoonekana hadi maeneo ya chumvini akioga.charminglady ndo wa kulaumiwa
 
ha ha ha ha, una tai kiunoni??

Ila isiwe nyekundu tu.

free Asprin.

Maadam wewe umeonekana hapa basi Mh. Tablet will b FREE soon!
The sooner The beater !
Afu kumbe pamba we ndo umezivua mida hii ? Mie nimekutangulia! Nimevua tangu Uzi una comment 1 !
Yaani hapa ukintokea ghafla wawezadhani tai nimeifungia kiunoni ! Dushe mning'inio! Si nimivaa nguo za kuogea!
Na sizitoi mpaka Babu atoke ndumwa!
 
Kaizer shemeji yangu, hayo ndo matokeo ya Asprin kutonisikiliza, nilimwonya, nikamsihi na kumbembeleza asipakwe 'dawa' na gfsonwin, akajifanya kidume, kaenda kupakwa dawa kaishia kupakwa gundu
BADILI TABIA sasa hapo ndo dawa inakolea kweli yaani utamuona akitoka atakavyokuwa na mvuto. nilimpaka ya uhakika aisee hapo weye subiria tu kubadilishna na akina Catherine
 
Last edited by a moderator:
he he he, alienda jukwaa la wakubwa akabishana na mod mmoja kuhusu mke wa mod.

Asprin alisema mke wa mod anavaa shanga 3 mod akasema 2. Basi mod kwenda kwake kumkagua mkewe akakuta kweli mkewe ana shanga 3 kama Asprin alivyojibu tena na rangi zile zile.

Huyo akajilia ban yake nzuuri kabisa.

Hahahah! Khaaa! We Kongosho ni mnoma asee. Nimeambiwa eti we ni asali yangu.
 
Last edited by a moderator:
he he he, alienda jukwaa la wakubwa akabishana na mod mmoja kuhusu mke wa mod.

Asprin alisema mke wa mod anavaa shanga 3 mod akasema 2. Basi mod kwenda kwake kumkagua mkewe akakuta kweli mkewe ana shanga 3 kama Asprin alivyojibu tena na rangi zile zile.

Huyo akajilia ban yake nzuuri kabisa.

nimecheka mpaka barmed wamekuja mezani kujua kama nina tatizo!...
aisee ww ni (mshenzi)...neno mshenzi limetumika kama KISIFA!
 
he he he, alienda jukwaa la wakubwa akabishana na mod mmoja kuhusu mke wa mod.

Asprin alisema mke wa mod anavaa shanga 3 mod akasema 2. Basi mod kwenda kwake kumkagua mkewe akakuta kweli mkewe ana shanga 3 kama Asprin alivyojibu tena na rangi zile zile.

Huyo akajilia ban yake nzuuri kabisa.
Asprin naye bana,we unakula na kipofu kisha unamshika mkono? Halafu we kongosho nasikia ban ya asprin umeifurahia eti kwa vile alikubwagwa shauri ya yeye kuopoa ka chicken spring jf.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom