Maandamano Kimara Mwisho-Kushinikiza barabara ya Bonyokwa itengenezwe kuepusha usumbufu

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Kichwa cha Habari kinajieleza tunapata shida sana hasa tunaokaa Bonyokwa tunapita kwenye makazi ya watu ni shida tunasubiliana kwa muda mrefu sana wakati walioijenga huku mwanzo inapoanzia haikutengenezwa vzr plz
pendekeza siku ambayo watu wote tutakuwa na nafasi tuanzamane kushinikiza hili
tufunge main road hasa pale kimara mwisho hili tunaweza fanya j2 mpaka kieleweke
Mbunge wetu Mnyika tunaomba utuunge mkono kuondoa kero hii
 
kero sana hii barabara dawa yao ni kufunga main road watatutafutia njia nzuri hawa
 
Back
Top Bottom