Maandamano. kama nyie mnaogopa mm pekeyangu nitaandama

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
kesho nitapiga ruti kimara mpaka manzese. kuanzia saa tatu. anayetaka aniunge mkono. serikali haiwez kunifanya mimi tahira. haki na wajibu wangu nafahamu. hoja ninayoitangaza kesho mtafahamu kupitia vyombo vya habari.
 
Pamoja sana, hakuna haki inayo patikana Kirahisi ndugu yangu na nchi zote zilizo endelea, zilifanya mapinduzi makubwa ndio maana zikafika apo zilipo.. TATIZO WENGI WETU NI WAOGA, tukiondoa woga kusafisha njia vizazi vijavyo vitakuja kuishi maisha yenye kuheshimiana na kufata haki za binadam...plz tuamke ata wale ..ambao wamekula kiapo kwa ccm pia badilikeni kwani huu ndio muda muafaka waku fanya mapinduzi ya kweli..
 
Kila lakheri..
kuna signature ya mtu inasema - Change begins with you..
 
rejao i know ur a fun of ccm. if 1 can support me then ur welcome. otherwise subiri nitajaza sup kwenye bakuri lako. aluta continua.
 
okey natokea mwenge. saa mbili na dakika 20 nitakuwa navuka hapo ubungo. kama vip tutakutana hapo nitakupa namba na tutachek intelegensia inasemaje then tunaanza. hapo kwenye kuchek intelejensia ni kuhakikisha tutaweza kutembea at least a hundred meters kabla kuzuiwa kwa lolote. ila maandamano yako pale pale.
 
niko standi ya mabasi ubungo still sijaona police labda wamejificha. any way ntaingia kimara in no time. i wish ma self no luck but sucess.
 
sasa huyu heche na waitara wanazingua. anyway ngoja tuwasikilize kikao cha kesho. ninatembea hapa kwa miguu naelekea mwenge. but at least mabango yangu mawili yamechukuliwa na polisi kwa nguu.
 
kama maandamano yenyewe yako hivi naona hapa wengi wangeshinda watz kwa kuongea 500% lakini action 0% ,maandamano siyo maneno ni ARI na watanzania hawana ARI hata kidogo......
 
Back
Top Bottom