Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

Kwahio hawatak kuvaa tena hijabu au
Maana sielewi

Mashia wana matatizo sana kama wayahudi na manaswara

Hawataki kupangiwa jinsi ya kuishi, mambo dini hayapaswi kulazimishana bali inapaswa kushawishana.
Unamuua mwanamke kisa kijisehemu cha nywele zake kimeonekana utadhani wao ndio walimuumba.
 
Mtaniamini tu siku moja, hakuna kitu kinaitwa serikali ya kidini ni usanii wa watu kujifanya wajanja ili wawatawale wengine na ndio maana hizo tawala ndizo za mabavu kuliko hata tawala zingine ambazo hazina huo usanii. Ni utapeli mtupu.
True. It was the same with Roman empire
 
Hawataki kupangiwa jinsi ya kuishi, mambo dini hayapaswi kulazimishana bali inapaswa kushawishana.
Unamuua mwanamke kisa kijisehemu cha nywele zake kimeonekana utadhani wao ndio walimuumba.
Mimi sijaelewa, huko Iran ni wajibu kwa mwanamke kuvaa hijab kwa mujibu wa sheria zao walizojiwekea nchini?
 
Unafikiri kuvaa hijabu wamepangiwa na mamlaka ya kidunia au na Mungu wao alio waumba?
Mamlaka ya kidunia ina enforce uamuzi/maamrisho ambao upo kweny vitabu vya dini
 
Ndio sheria hizo za kidini za hovyo zilizopitwa na wakati, hauwezi ukalazimisha mtu masuala ya kidini, mshawishi kwa mbinu za amani na mahubiri ila sio unaua mwanamke kisa kipande kidogo cha nywele kimechomoza kwenye hijab, ni uzombi uliopitiliza kuendelea kulazimisha watu mambo ya kidini.
 
Masuala ya Mungu sio ya kulazimishana, kila mtu ahubiriwe kwa amani achague ipi ndio sahihi sio huo ujinga wa kukatana vichwa na kulazimishana udini. Huyo "allah" wenu kama kweli yupo, mbona yeye asifanye maajabu ya kuwapiga kwa radi au mavituko mengine wale ambao wamemgomea, kwanini mlazimishe watu kumuabudu.

Onyesheni kwa vitendo mlivyo wa amani, mhubiri amani kisha binadamu wenzenu watajichagulia, sio mnamuua mwanamke kisa kakipande ka nywele kameonekana, sijui kwanini hiyo dini yenu imekaa kikorofi na mauaji na vijimambo vya ajabu ajabu, mara mabikira mbinguni, mara mjilipue mabomu, mara mkate watu vichwa.....sijawahi kukaa niwaelewe.
 
Hakika
Wanawake wa Iran ni shujaa kuliko vidume vya bongo, haya maisha haya
Screenshot_20221001-064256_Twitter.jpg
 
Ndio sheria hizo za kidini za hovyo zilizopitwa na wakati, hauwezi ukalazimisha mtu masuala ya kidini, mshawishi kwa mbinu za amani na mahubiri ila sio unaua mwanamke kisa kipande kidogo cha nywele kimechomoza kwenye hijab, ni uzombi uliopitiliza kuendelea kulazimisha watu mambo ya kidini.
Sasa ni sheria ya dini tu au na nchi yao imeweka hiyo sheria ya kuvaa hijabu? Kwamba Iran kama nchi kuna sheria ya kuwataka wanawake kuvaa hijabu?
 
Masuala ya Mungu sio ya kulazimishana, kila mtu ahubiriwe kwa amani achague ipi ndio sahihi sio huo ujinga wa kukatana vichwa na kulazimishana udini. Huyo "allah" wenu kama kweli yupo, mbona yeye asifanye maajabu ya kuwapiga kwa radi au mavituko mengine wale ambao wamemgomea, kwanini mlazimishe watu kumuabudu.

Onyesheni kwa vitendo mlivyo wa amani, mhubiri amani kisha binadamu wenzenu watajichagulia, sio mnamuua mwanamke kisa kakipande ka nywele kameonekana, sijui kwanini hiyo dini yenu imekaa kikorofi na mauaji na vijimambo vya ajabu ajabu, mara mabikira mbinguni, mara mjilipue mabomu, mara mkate watu vichwa.....sijawahi kukaa niwaelewe.
Tatizo waliyo nje ya hiyo dini wengi sana huyajua hayo uliyo yaeleza kuliko kujua hiyo dini inafundisha nini na ina misimamo gani, ni kawaida kumkuta muislamu anafahamu dini zengine mfano ukristo kuliko hata mkristo mwenyewe ila utaona wakristo wengi hawaufahamu uislamu zaidi ya story za ugaidi uchawi fujo n.k yani vitu vibaya vyenye kuhusishwa na uislamu nje ya uislamu.

Ni sawa na mtu ambaye wewe uelewa wake wa ukristo ni yale tu mambo mambo mabaya yenye kuhusishwa na ukristo kama ndoa za jinsia moja, utapeli wa haya makanisa n.k
 
Dini ni matendo, tutaijua dini yenu kwa matendo, tunashuhudia mnakata watu vichwa kuwalazimisha dini na matendo mengine ya kishetani....sina haja hata ya kusoma vitabu vyenu, nafuata matendo yenu na kujua ilivyo dini yenu
 
Watu wamechoshwa kulazimishwa kuishi kwa sheria kandamizi za kidini zilizobuniwa na wanaume makatili wa wakati ule, huyo mohammed kwanza nilisoma sehemu alikua anagegeda katoto ka miaka tisa...https://www.quora.com/Did-Mohammed-marry-a-child
Kwani kuna dini gani sheria zake zilipatikana kwa mfumo wa kidomokrasia? Kuhusu Muhamad wenye kueleza historia yake ni waislamu wenyewe hivyo huwa nasema kama hilo jambo la kuoa huyo binti ni jambo baya basi wangelificha wasingeeleza ila limeelezwa hadi wewe unajua.
 
ha ha ha! Kumbe kweli huyo muarabu aligegeda hako katoto, yaani ndio nimejikuta nikiwadharau zaidi....ndio chimbuko lenu huko..duh!
 
Dini ni matendo, tutaijua dini yenu kwa matendo, tunashuhudia mnakata watu vichwa kuwalazimisha dini na matendo mengine ya kishetani....sina haja hata ya kusoma vitabu vyenu, nafuata matendo yenu na kujua ilivyo dini yenu, maana pia nikiamua kusoma mlikoanzia nakutana na habari za alichofanya huyu mwarabu Did Mohammed marry a child?
Sasa ukiangalia tu matendo ya watu sidhani kama utakuwa sahihi, kwa mfano unapoona matendo ya ndoa za jinsia moja katika nyumba za ibada za wakristo si utahukumu ukristo kwa hilo tendo au umeona wazungu huko(wengi wakristo) wanatetea haki za mashoga utahukumu ukristo kwa sababu hutaki kujua ukristo unaeleza nini.
 
Wangekua wanafanya na kusema wanayafanya kwa ajili ya Mungu, ningeuchukia Ukristo, ila nyie mnakata watu vichwa eti mnampigania allah na kulazimisha watu wamfuate huyo.
 
ha ha ha! Kumbe kweli huyo muarabu aligegeta hako katoto, yaani ndio nimejikuta nikiwadharau zaidi....ndio chimbuko lenu huko..duh!
Tatizo hapo lipo kwako na kwa sababu umesema unaangalia matendo tu basi utalichukulia hilo la ndoa ya binti wa miaka 9 kwa sura ya mazingira yetu haya ila ndio maana nikasema kama hilo jambo lingekuwa baya basi lisingesemwa na usingejua.
 
Back
Top Bottom