NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Asalam Alekhum wana JF wote,
Nimekuwa nikijiuliza hasa kwa nchi za Misri, Iran, Tunisia etc kwa nini maandamano yanashika kasi sana siku za ijumaa baada ya Alasiri bila mafanikio ya uwelewa wa kina.
Ukiangalia maandamano yaliomng'oa Hosni Mubaraka yalishika kasi siku ya Ijumaa na huwa maandamano ya namna hii yanafanikiwa. Kidogo Iran walichemsha ila nauhakika wakirudia tena watamng'oa mtu.
Je ni kuwa Ijumaa ina baraka kuliko siku zote?