Maandamano Haile Saleise kuelekea Ocean Road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Haile Saleise kuelekea Ocean Road

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dash, Dec 29, 2008.

 1. D

  Dash Member

  #1
  Dec 29, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimetaarifiwa kuwa kuna maandamano ya amani ya watu kiasi cha 200 mpaka 300 aykitokea Haile Saleisi kuelekea Ocean Road yamesababisha magari yasiende, kuna mtu ana taarifa yanahusu nini haya maandamano
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 29, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Nini dhumuni la maandamano haya....?
   
 3. D

  Dash Member

  #3
  Dec 29, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nasikia maandamano yamekwisha magari yameanza kutembea sasa, bado sijajua yalikuwa yanahusu nini hayo maandamano mpaka sasa.
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hakuna maandamano ni watu wanatembea na miguu foleni kubwa......
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Kama ni haya yaliyoanzia Kinondoni Road basi ni maandamano ya amani ya waislam ya Mwaka mpya wa kiislam ambao umeanza leo. Tatizo ni nchi yetu tu, vyombo vya dola havina kawaida ya kuwapasha habari watumiaji barabara lakini maandamano hayo yalikuwa na kibali na wana-usalama walikuwepo kuongoza haya maandamamno ambayo yalitanguliwa na dhifa pale Kinondoni Muslim ofisi za BAKWATA
   
Loading...