Maandamano dhidi ya utawala wa Rais Blaise Compaore nchini Burkina faso, Bunge lachomwa moto!

Kuchona moto majengo ya bunge ni ujuha kwa sababu kinachotakiwa bungeni ni hoja sio vioja
 
Hao wanatuzidi akiri,rejea ile report ya viwango vya IQ tupo number 9 mbele ya Sudan kusini kwakuwa nauwezo mdogo wakufikiri na ndio mana tunabuluzwa na hawa vilaza!
 
hata hivyo ukawa waliyotoka pamoja na taasisi zao walijitahidi kulifanyia hujuma mbaya sana bunge lakini ulinzi ulikuwa imara sana wakashindwa wakabakiwa kubwabwaja
 
Hapa tupo tunamsifia Lowasa, na kutafuta mbinu ya kumwingiza ikulu! kwani lowasa na rais anayetaka kubadili katiba arudi madarakani wana tofauti gani? Lowasa ni sawa na huyu jamaa anayetaka kuchakachua katiba!
 


Jengo la Bunge, halmashauri ya jiji na makao makuu ya chama tawala vimechomwa moto kama uonavyo hivyo!
"Protesters angry at plans to allow Burkina Faso's President Blaise Compaore to extend his 27-year-rule have set fire to parliament.
The BBC's Laeila Adjovi in the capital, Ouagadougou, say the city hall and ruling party headquarters are also in flames."

Baada ya lile vuguvugu la Arab spring lililowan'goa madarakani viongozi walafi wa kiafrika kina Gadafi; Hosni Mubarak na Ben Ali wa Tunisia; Hili sasa tuliite mwanzo wa vuguvugu la African Spring. Viongozi wetu wa kiafrika wanapenda kuziona nchi zetu katika tafrani za aina hii kutokana na ulafi wao wa madaraka kujikinga na mikono ya sheria baada ya kuzifisadi nchi zetu. Kwa hili CCM wajitambue kwamba kamwe hawataweza kuwa tofauti, wananchi walioamka kuna siku watafanya kama haya ya Barkinabe au makubwa zaidi.
This is a wake up call for the CCM government and its zealots; siku kama hiyo inawasogelea kwa kasi sana.
Mapengo 17
 
Last edited by a moderator:
Kuchona moto majengo ya bunge ni ujuha kwa sababu kinachotakiwa bungeni ni hoja sio vioja

Mkuu ni rahisi kusema! Hoja ambapo asilimia zaidi ya 70 ni watu wa ndiyo bwana mkubwa! Angalia wanvyokuwa wengine wamesinzia bungeni! Kuna kitu kinasema '' mbunge anatakiwa ajue kusoma tu, na inatosha kwake kuwa mbunge, kaenda shule au la haina maana'' Mkuu upo hapo? Tetea yote lkn kumbuka hata mtoto wa mjomba wako yatampata kama sio wewe (nikiwa na maana wewe ni kati ya wanao tanguliza matumbo yenu bila kujali nchi inakwenda wapi...)
 
[h=1]Mambo ya rais kufanya atakavyo.
huku tz wanatoka nje kwa amani,ccm wanawaona mafala,kule hakuna cha nje wala nini nikulipua tu.

Burkina Faso parliament set ablaze[/h]
_78628701_78632002.jpg
Demonstrators breached the security around parliament and set it on fire


Protesters angry at plans to allow Burkina Faso's President Blaise Compaore to extend his 27-year-rule have set fire to parliament.
The BBC's Laeila Adjovi in the capital, Ouagadougou, say the city hall and ruling party headquarters are also in flames.
Earlier, the military reportedly fired at protesters who stormed parliament.
Tear gas was also fired from a helicopter, as a crowd surged towards the presidency, reports say.
Parliament was due to consider changing the constitution so that Mr Compaore, 63, could run for office again in elections next year.
A government minister could not confirm reports that the constitutional amendment has been withdrawn, Reuters news agency reports.
_78634257_burkinafaso_464_30102014.png

Mr Compaore first took power in a coup in 1987, and has won four disputed elections since then.
The opposition has called for a campaign of civil disobedience to demand that he steps down.
"October 30 is Burkina Faso's Black Spring, like the Arab Spring," opposition activist Emile Pargui Pare told AFP news agency.
State television has gone off air after protesters stormed the building housing it and ransacked it, Reuters quotes a witness as saying.
_78628704_0fec33dc-0099-415b-976c-2e5034007025.jpg
Car were also set ablaze near parliament
_78634255_71e8285f-28c6-4889-a8ec-9246137c2eb9.jpg
The protesters do not want Mr Compaore to change the constitution to extend his rule
Smoke could be seen billowing from parliament.
Police had earlier fired tear gas to prevent protesters from moving in on the parliamentary building.
But about 1,500 people managed to breach the security cordon and were ransacking parliament, AFP reports.
Protesters were setting fire to documents and stealing computer equipment; cars outside the building are also on fire, it reports.
Mr Compaore is a staunch ally of the US and France, which uses Burkina Faso as a base for military operations against militant Islamists in the Sahel region.
Both France and the European Union (EU) have called on him to scrap the proposed constitutional amendment.
The EU said it could jeopardise Burkina Faso's stability. The US has also raised concern about the proposed amendment
 
Kuchona moto majengo ya bunge ni ujuha kwa sababu kinachotakiwa bungeni ni hoja sio vioja

Kama mchezo nikama wahuku kwenye Bunge la kuchezea vitorondo ni bora kuwachomea moto humo nawao kwa sababu kama hoja wamedharau maoni yetu,mumepiga kura nakulazimisha waliokufa wakapiga nawao na hazikutosha Pia mkampigia kiongozi wa Nccr mageuzi hazikutosha, mkamuhamisha Zakhia kwenda Znz kwa muda ili tu mfanikiwe mamboyenu.Je hapo hamstahili kiberiti?
 
Protesters angry at plans to allow Burkina Faso's President Blaise Compaore to extend his 27-year-rule have set fire to parliament.
The BBC's Laeila Adjovi in the capital, Ouagadougou, say the city hall and ruling party headquarters are also in flames.
The security forces fired tear gas from a helicopter as a crowd surged towards the presidency.
MPs have suspended a vote to allow Mr Compaore to stand for re-election.
One person has been killed in the protests, reports the BBC's Yacouba Ouedrago from the capital.
 
Japo kilichofanywa na wananchi si kizuri ila njia pekee kuwaonyesha watawala kuwa hatutaki mnachotakankufanya hoja haisikilizwi na hao kuna haja ya kupoteza muda ndio maana tunakuwa maskini hatujali muda na fedha inayopotea
 
Back
Top Bottom