Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo salenda magar hayaend yan ni tatizo juu ya matatizo magar hayaend watu mamelala barabaran hakuna gal linaropita hapa
Waandamane tu .....kuna maanadamano makubwa huko dar...watu kibao wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...wana mabango kibao..wakiishinikiza serikali kuingilia kati
sosi ni mwana jf aliyepo eneo la tukio kanipigia simu
kuna maanadamano makubwa huko dar...watu kibao wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...wana mabango kibao..wakiishinikiza serikali kuingilia kati
sosi ni mwana jf aliyepo eneo la tukio kanipigia simu
Wahi sasa uje kutuunga mkono.
ngoja ninunue dumu la maji ya uhai lt 5 nikajiunge na wenzangu.
Hii ni kujiandaa na mabomu ya sumu
zima gari,tupa funguo na wewe ulale.....nipo salenda magar hayaend yan ni tatizo juu ya matatizo magar hayaend watu mamelala barabaran hakuna gal linaropita hapa
Mkuu dumu utaweza kulibeba? Maji ya kuwasha hakuna wanajua wananchi wamechoshwa na drama zao