Tumethubutu,tumeweza,tunazidi kusonga mbele!
Wamefunga kwasababu gani?
Nami nipo hapa kwenye maandamano ya amani, tunawasilisha ujumbe wetu kwa Serikali itatue mgogoro wake na madaktari ili kunusuru maisha ya Watanzania wasio kuwa na hatia.
Mbona habari yako haieleweki wamefunga shule?hospitali?barabara?au nyumba? Kwa sababu gani,lini,wapi?kajisaidie ujisafishe vizuuuri halafu uje. Sawa mtoto mzuri eeeh!
heri nusu shari kuliko............Mbona nusu habari? Weka vitu kamili.
Wadau taarifa za ndani kutoka LRHC wananchi waliohudhuria wameamua leo saa nane mchana katika eneo la salander bridge kumtaka rais aingilie kati hali tete katika nchi yetu. Tafadhali hudhurieni umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Usiniombe picha njooo upige mwenyewe
mtaondoka saa ngapi hapo nasi tupite kuelekea majumbani?
acha longolongo wewe njoo hapa salender bridge kama unahitaji maandamano: Tupo hapa tunatarajia kuanza kusonga mbele.
unajifanya una-uchungu kumbe olaa