MAANDAMANO ARUSHA: Wanafunzi Wa Sekondari Iliboru Wanaandamana.

Dah huo mgomo unanikumbusha mgomo mmoja mkali wa mwaka 2000-2001, baada ya sisi wanafunzi wakati huo kuchoshwa na uongozi wa Kitemango(head master) na Msungu(second second master).
Nakumbuka vuguvugu la mgomo lilichochewa kutokana na ubovu wa chakula especially CHUI, KITEI kilikuwa adimu na mbaya zaidi kuna watu walikuta PANYA kwenye CHUI.
Then Ilboru ikawa na bifu na wamenye wa Ekenywa, yaan skonga haikuwa na amani kabisa.
Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya(alikuwa mjeda flani hiv), afisa elimu wa mkoa wote walikuwa upande wa Kitemango na utawala wake(Hakika Mungu awalaanani wote hao, na wengine naona laana ziliwapata kama Chifu, Shembilu n.k), maana walijifanya kufukuza baadhi ya wanafunzi. Lakini kwa kuwa Mungu si Athiman, wale wote waliofukuzwa waliendelea na shule sehemi nyingine na walichana paper ile mbaya, wengine walisonga ughaibuni n.k.
 
mi nasona hapa ilboru huyu mkuu anaitwa J R mutabuzi ndio chanzo cha maandamano kwani amekua akipiga wanafunzi faini kwa makosa madogo na kuendekeza rushwa kwa ujumla hatumtaki ilc naibu waziri wa tamisemi Kasim majaliwa alifika na tuka mwelezea shida zetu
 
Safi sana jembe komaeni mpaka mumtoe huyo JR!! Hanang,Kibo,oldonyo,Rungwe simameni kidete mumuondoe huyu fisadi anashusha elimu hapo ilboru nayoijua mimi sio hii ya sasa,nimeangalia matokeo sio mazuri kabisa enzi zetu point 7,8 au point 3,4 na 5 total yake zinakua zaidi ya 30......
 
wanamgomea jamaa mmoja ambaye kwa sasa ndio headmaster wa shule hiyo...Huyu jamaa anaitwa J R Mutabuzi... huyu aliwaahi kua headmaster Mukulati sekondari,MAJI YA Chai secondary ..baadae akaenda nadhani Karatu sekondari ndo akaja Ilboru....Hua anaongoza shule kwa mkono wa chuma na anadharau sana waalimu wenzake ..sijui huyu mhaya ana matatizo gani.
 
Nakumbuka miaka ya 2004-2006 kitei mara moja kwa wiki,tena ilikua jumanne,hapo wanafunzi tranter n university physix hazpandi tena wakisubiri kitei afu ukute mbichi kiaina,
 
sijui wamegomea nini ? au chui ?

haaa haaa .... nilikuwa Bweni la Hanang ... miaka ileee 92 .. onwards A-level

Nimepewa hint na dogolii mmoja ivi kuwa jamaa amekuja juzi ila analeta mambo ya udini hivi..sasa sijui kama watu wamepigwa marufuku kwenda chapel au niaje..
 
Nakumbuka miaka ya 2004-2006 kitei mara moja kwa wiki,tena ilikua jumanne,hapo wanafunzi tranter n university physix hazpandi tena wakisubiri kitei afu ukute mbichi kiaina,

Nyie waswahili ndo mlimpa stress hayati shembilu...hamfai..may he RIP btw
 
Back
Top Bottom