Maandalizi yanaendelea, wanaodhani Korea Kaskazini atapona waendelee na udhanifu wao

Hawamuwezi North Korea bila Kumtumia China kukata mahusiano ya kibiashara na North Korea lakini nakushangaa kushabikia uonevu unaofanywa na marekani huko North Korea, je hujui kuwa hata Tanzania ikiamua kujitegemea bila wao na kujilinda kijeshi, Marekani atapanga kuipiga huku akisema 'Tanzania ni nchi hatari duniani lazima ipigwe' MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI.
Hajielewi huyo ni kuni ya akiba
 
US anaogopa nini siku zote?
NK amesema yupo tayari, sasa US ngonjera za nini siku zote?
 
Ndiyo nature ya mawazo yako na kizazi chenu kwa ujumla! As long as umepewa ubwabwa na kushiba uko radhi kuuuza utu wako na utashi wako. Haya ndiyo yanatugharimu Tanzania hadi Leo ,ukipewa kanga na kofia unasahau dhiki zote mlizopata kwa miaka mitano.
# Anyway, US wawaletee na misaada ya ngoma ili muendelee kucheza vigodoro.
Tena sina wasiwasi najua korea atachukua kichapo cha kufa mtu niye mnaye mshabikia muendele hivyo hivyo
 
Hizi akili shida tupu... Marekani hatoi hela yake mfukoni.... Hizo hela zinaibiwa ndani ya nchi yenu inakuja kurudishwa kwa njia ya misaada

Ukiona unapewa misaada ujue wamesha kuibia vya kutosha

Hizi akili za waafrica sijui zipoje.... Kweli nimeamini vichwa vyenu vimelongwa
zinaibiwa wapi akuna mahali marekani anakuibia pesa ni kiongozi wako ana saini mikata na siyo lazima kusain
 
Kuna watu wanashabikia mambo bila kujua na wengi wao wanafanya huvyo eti wakiamini kuingia peponi kisa kamshabikia Mmarekani ambaye ni Mzungu na wazungu ni Wakristo wenzake.
Shame on such a person, ukweli ni kuwa dunia inaharibiwa na wachache sana.
Kuna Dada mmoja niliwahi fanya bae kazi somewhere, siku moja alifurahia picha ya kitoto kilichouawa kando ya Bahari huko nchi za kiarabu na akaniambia eti nenda ukawasaidie Waislam wenzako.
Niliumia sana na nilimuona hajielewi na elimu yake ni bure.
Nakuunga mkono kaka kuwa kuna wanaoshabikia kwa udini bila kujua ukweli.
Ipo siku tutachezea Makombora na tusijue wapi tukimbilie na hapo cjui MTU kama yule Dada atashangilia US au Tanzania!!!?
Yangu macho ila tubadilike
itakuwa ww mpenda dini sana ka faiza
 
Niye mtaenda kupata mabikira 72 akuna kitabu cha uhongo kwa quran kwenyrme hii dunia
Tunaongelea mambo ya siasa hapa sio dini, nilijaribu kukuelewesha kwamba Marekati siku zote hataki kushushwa kwenye kiti chake hivyo endapo itatokea nchi yoyote ambayo inajitahidi kwenye maswala ya kitekinolojia hasa kwenye zana za kivita haiko tayari kuona hilo likifanyika hasa nchi hiyo ikiwa sio mshirika wake. Nikiwa na maana pia hata Tanzania tungejitutumua kwenye mambo ya kijeshi na tusiwe mshirika wa marekani pia tungeonja joto ya jiwe. Think out of the box!!! Sikulaumu upo kundi la Bashite
 
Mtoa Uzi uko nyuma sana ya wakati! Kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya marekani na Korea kusini siyo habari! Haya mazoezi yamekuwa yakifanyika Mara kwa Mara na mwaka kwa mwaka wala hakuna jipya hapo!
Tulikuwa tunategemea jipya kutoka kwenye kikao cha maseneta cha dharula kilichofanyika white house. Kikao hicho maseneta walielezwa hali halisi jinsi ilivyo na hali halisi ya uwezo wa kivita wa Korea kaskazini halafu waamue kusuka au kunyoa!
Baada ya kikao hicho cha kuambiana uhalisia waliona ni afadhali watumie "njia za amani" kuibana NK kuachana na silaha za nuklia ikiwa ni kuongeza vikwazo vya kiuchumi na kidiplomasia! Na kuibana China ili imbana jirani na rafiki yake!
Wenye akili zao washajua kuwa MTU mzima "keshaingia mitini" kiaina! Hayo mazoezi ni ya kupunguza tu aibu! Angalia BBC wanavyoripoti hapa:
"The United States seeks stability and the peaceful denuclearisation of the Korean peninsula," said a joint statement issued by Secretary of State Rex Tillerson, Defense Secretary Jim Mattis and Director of National Intelligence Dan Coats. (Source- BBC news)
 
Project kubwa zaidi ya Trump nje ya US kwa sasa ni suala la NK. Kiduku anatoka apende asipende. NK inaenda kupata utawala na serikali mpya ya kidemokrasi kwa maana ya neno lenyewe na sio demokrasia za maigizo.
.....kama demokrasia ya Libya
 
Huyo mbona Bashite tu, kuna kitu kinaitwa Ohio kinabeba makombora 24 ya nuclear (Trident missiles) na kila kombora linabeba vichwa 8-12 vya nuclear. Huyo akitumwa mchezo kwishney.
Na jana Waziri mkuu wa UK kasema atatumia nyuklia km ataona wapo kwenye tishio. Ngoja tusubiri hii movie japo nishaichoka.
Na Urusi amesema iwapo uingereza ikijaribu kutumia nyuklia,ataifuta kwenye ramani ya dunia.
 
Mtoa Uzi uko nyuma sana ya wakati! Kufanya mazoezi ya pamoja ya kivita kati ya marekani na Korea kusini siyo habari! Haya mazoezi yamekuwa yakifanyika Mara kwa Mara na mwaka kwa mwaka wala hakuna jipya hapo!
Tulikuwa tunategemea jipya kutoka kwenye kikao cha maseneta cha dharula kilichofanyika white house. Kikao hicho maseneta walielezwa hali halisi jinsi ilivyo na hali halisi ya uwezo wa kivita wa Korea kaskazini halafu waamue kusuka au kunyoa!
Baada ya kikao hicho cha kuambiana uhalisia waliona ni afadhali watumie "njia za amani" kuibana NK kuachana na silaha za nuklia ikiwa ni kuongeza vikwazo vya kiuchumi na kidiplomasia! Na kuibana China ili imbana jirani na rafiki yake!
Wenye akili zao washajua kuwa MTU mzima "keshaingia mitini" kiaina! Hayo mazoezi ni ya kupunguza tu aibu! Angalia BBC wanavyoripoti hapa:
"The United States seeks stability and the peaceful denuclearisation of the Korean peninsula," said a joint statement issued by Secretary of State Rex Tillerson, Defense Secretary Jim Mattis and Director of National Intelligence Dan Coats. (Source- BBC news)
Mimi ninavyo jua North korea wako vizuri pia tukae tukijua kwamba Marekani watakuwa wanapigana na Mrusi pia
 
zinaibiwa wapi akuna mahali marekani anakuibia pesa ni kiongozi wako ana saini mikata na siyo lazima kusain
Zuzu wewe tena zuzu wa tarmac levels
Kiongozi uliyemtaja na wewe nyote mnaweza kataa bwana wenu US akitaka kitu? Iwe mimi uwe wewe lazima utasaini tuu...
Kumbuka kuwa masikini hana malengo ndio maana tunavyopanga wakubwa huipangua.
China IPO hapo kwakuwa walitumia ukatili mkubwa sana kama kunyonga wasaliti na wengine ilimradi US and UK wasiwaingilie mambo yao, la sivyo China ingekuwa Poor hadi Leo.
Big up NK IPO cku dunia itakukumbuka na hata kama utakufa you will not like a Hog,,,, who died and pinned in inglorious spot...!!!?
 
Hapo sasa! Jamaa anabinywa kila kona hata waliodhaniwa wake sasa wanampa mgongo
KIM haeleweki hata kwa marafiki zake. China ambaye ni jirani yake ambapo karibu mahitaji ya korea yote yanatoka wanamuona kuwa anaweza kuhatarisha eneo zima la china,sehemu ya russia, korea iwapo kutatokea matumizi yoyote yale ya nuclear kutokana na 'fallout' ya nulear radiation.
 
Back
Top Bottom