Elections 2010 Maandalizi yakianza mapema 2015 ..ccm out ..

samoz

Member
Nov 2, 2010
32
1
Dr.Slaa,Freeman ..na wapiganaji wote !!

Kwa wale waliopata nafasi za kuingia bungeni kama washindani wa CCM MJue kwamba nyie ndio mtaleta mabadiliko kwa mika mitano ijayo !
CCM ni Banzoka iliyokosa utamu ,sasa watanzania wanatafuna kwa mazoea kwa sababu ya kukosa ujasiri wa kuchukua nyingine yenye utamu !
Kumbuka Asilimia 30% ya watanzania wote ni chini ya miaka 5 ! inayobaki 20% ni kati ya 5-18...inayobaki ndio imepiga kura mwaka huu!!!
mwaka 2015 vijana waliozaliwa kuanzia mwaka 1993-1997 watapiga kura hawa hawajui sijui chama alichoacha baba wa taifa wala mawazo mgando yoyote na propaganda za CCM!VIJANA wanataka kuona mabadiliko ...sasa ni kujipanga CCM mbona inaondoka ..tunahitaji watu wahamasishwe zaidi ...hasa vijijini na majimboni kwa ujumla! mijini imewezekana sababu ya kupata habari ,katika magazeti ,internet ,Tv etc ..

Pili hawa vijana sasa wako mashuleni wengi wao katika mashule ya kata .....!!!!wanauchungu maana wengi wao hawatakua na ajira kutokana na mfumo mbovu!

Pipooooooooooooooooooooozz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Vyama vijipange ...kama mwaka huu majimbo 29 kwa mujibu wa msomali kinana ....kunauwezekano mwaka 2015 kuchukua zaidi ya nusu ya majimbo yote !

pipoooooooooooooooooooooz pawa
 
cha kuongezea, chadema ijitahidi sana kuongeza nguvu na mikoa ya pwani kwani huko ngome haijawa imara kama mikoa mingine.
 
nakubaliana nawe na nimeweka iana kwamba nitakua katika harakati za maandalizi ya kuichukua nchi by 2015
 
Yeah sasa hivi tukubali matokea yoyote yale ile jinsi tulivyowafanya mwaka huu na pressure tuliyowapa naamini 2015 nchi ni ya CHADEMA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom