Maandalizi ya mazishi ya rais wa zamani wa afrika ya kusini nelson mandera yanaendelea

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo
 
Daaaah acha waandae ana desrve yote hayo he was amazing,mwenye uzalendo wa kweli mwenye kusamehe mfano wa kuigwa.
 
Kama viongozi wote hao 70 watakaa hadi jumapili,wenye mahoteli watafanya bonge la biashara
 
Some people die but their legacy will still be alive,
Some people are alive but their legacy is already barred to the ground.
R.I P Tata Madiba.
 
Back
Top Bottom