DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
Wanawake unawaona wako sawa? Hawa ambao wamejiandaa kwenda kushindana na wanaume ndani?Hasa wanaume....wamepungukiwa sana
Ila kuna wanaume wana maamuzi magumu khaaa,ukishindana nae hachelewi kuoa mke wa piliWanawake unawaona wako sawa? Hawa ambao wamejiandaa kwenda kushindana na wanaume ndani?