Maandalizi ya Kiusalama ya Ziara ya Obama Tanzania (na Afrika kwa Ujumla)

1. Kwan wazungu wengine wanaoenda mbugani kutembea wanabeba snippers wasiliwe na wanyama?
2. Obama anakuja kufanya nini hasa? Utalii? Ziara ya kiuchumi?

Kama siyo wamerekani kuhoji na kulalamikia ghalama za Safari sijui ingekuwaje!!
Maana serikali yetu iliishatutengenezea picha movie nyingine kama ya Sullivan...
 
Back
Top Bottom