Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,772
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Source: ITV habari
Haisaidii, nadhani wanaoamua kwenda mahakamani wanajuà upuuzi huo huwa unafanyika kila wakati Chadema wanapokuwa na Jambo lao.
 
Wanachama wa chadema wamegoma kufanya maandamano yao kesho baada ya kugundua kuwa viongozi wakubwa wa chama hicho hawatokuwepo maandamanoni. Ukweli ni kwamba hakuna mtu atakaekuwa tayar kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya maisha ya mtu mungine. Kesho viongozi wa chadema wakishiriki maandamano kama wanavyomaanisha nyumbu wao hapa jukwaani, basi mi nitachoma nyumba yangu moto live afu niwatumie video muione inavyoteketea.
 
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Source: ITV habari
Siku zinakuja ambapo police watakipata wanachokitafuta, huwez leta habar za ugaidi kwenye nchi isiyo na hata harufu ya ugaidi, one day watakuja magaidi wenyewe ndio wenye ulinz wao watauona mziki wao!
 
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu. Source: ITV habari
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Source: ITV habari
Mikwara ya kishamba iliyopitwa na wakati mno !
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.

Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.

Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
"Mtu mzima hatishiwi nyau, Kisutu lazima nitinge na nitatoka salama kabisaaah"

Mpe salaam hz aliyekutuma kututisha!
 
Wenzetu Uganda,Kenya,Ethiopia,Namibia wanabeba tu medali huko Tokyo..sisi huku sasa..
Kabisaaaa si vijana wetu wame kuwa wanasiasa

Hawataki kazi kisa kasoma vifungu vya sheria katika vitabu.

Mwingine kasomea usanii wa kuchambua vitabu vya hadithi hivyo nae kagoma kufanya kazi.

Sasa wamekuwa wanasiasa

Maskini weeee🥱🥱🥱

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom