Maandalizi ya CCM yapamba moto Dodoma

Diranqw

Senior Member
Mar 13, 2016
160
72
WhatsApp-Image-20160720%25283%2529.jpeg

CnzeiNIXgAAG9G1.jpg
CnzeEkjWYAA_aPG.jpg
CnzeFpsXYAAG9o7.jpg
 
Jana nilikuwa nimeleta mzigo wangu wa biashara sokoni majengo...nilishangaa pale vijana wa ccm walivyokuwa wanapita na kushusha bendera za chadema na Act....na kupandisha zao...hawa vijana wa ccm sio wastaarabu kabisa ......ni upuzi kufanya mambo kama yale ...acheni mabavu tumieni hoja
 
Wameshahama huku,mjikague huko................................................
 
Ila nikiona huu ukumbi nawaza tembo wetu....walio uwawa na wachina...tumebadilishana ukumbi na Tembo namuona na mtaalamu wa kuua Tembo kwa mbali........
Kazi ya Tembo ni nini???????????????????????????????????????????????????
 

Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye na Msemaji Mkuu wa CC, Christopher Ole Sendeka wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kukagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akianza kukagua ukumbi huo huku akiongozana na Katibu wa NEC, ITikadi na Uenezi Nape Nnauye

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiongozwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuingia katika ukumbi huo. Kushoto ni Msemaji Mkuu wa CCM Christopher Ole Sendeka

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Wengine kutoka kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi Rogas Romuli, na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.na kushoto ni Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbea Ng'enda

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. ulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi Rogas Romuli na Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka

Nape akionyesha eneo la meza kuu

Nape akiendelea kumpatia maelezo Kinana kuhusu hali ya ukumbi

Nape akiendelea kumpatia maelezo Kinana kuhusu hali ya ukumbi

Hali ya ukumbi sehemu ambako watakaa wajumbe na waalikwaNape akijaribu vinasa sauti vitakavyotumika

Kinana na Nape wakikagua eneo watakakokaa viongozi katika meza akuu

Ole Sendeka akitoa mawazo yake wakati wa ukaguzi wa ukumbi huo

Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akijaribu vinasa sauti vitakavyotumika wakati wa mkutano huo

Wakielekea kutoka ukumbini baada ya kukagua

Kinana na Nape wakiendelea kukagua maeneo mengine ya ukumbi

Eneo la mapumziko ya wageni waalikwa na viongozi

Ukumbi mdogo wa ndani

Wakienda kukagua eneo lingine la ukumbi

Wakiendelea kukagua ukumbi

Eneo la kulia chakula
 
Ila nikiona huu ukumbi nawaza tembo wetu....walio uwawa na wachina...tumebadilishana ukumbi na Tembo namuona na mtaalamu wa kuua Tembo kwa mbali........
Chadema bajeti ya maandamano wanayo ila bajeti ya kujenga ukumbi hawana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom