MAANDAGRAUND WAKIWA BIZI STUDIO KUTAFUTA KUTOKA

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,225
17,804
[Credit to: Anko Kitime]

15349693_10211169605694897_6362418230011611353_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Nawaza umeme ukikatika humo ndani hapatoshi ukute producer hana air condition
 
Ni mwendo wa ehy eae yoyo yoyo yoyo men, oh babi bebi oh bebi yoyo yoyo oh oh oh.

Weka beat wimbo umeisha bila hata neno au ujumbe wowote!
 
Na mimi naliunga juu kwa juu
yooo yooo bangi nibangue sigara
Nigaragaze Magufuli nimuone kama mtoto(utani)
Ni utani lakini ndani kuna ukweli
Yooo yooo tanzania na wananchi
Wake akili zetu tunazijua wenyewe tu yooooo yoooo
Aaaaahhhh yeeee baghoshaaaaaaaaa
Hata barabani tunafanya
Biashara kwa amri ya jpm
Wakuu wa mikoa na wakuu
wa wilaya acheni shobo
nchi ni yetu sote acheni tufanye
Biashara kwa amri ya jpm
yoooooo aaaahhhh aaaaaahhh
Siyo uchochezi ila ukweli ndyo
huo
 
Na mimi naliunga juu kwa juu
yooo yooo bangi nibangue sigara
Nigaragaze Magufuli nimuone kama mtoto(utani)
Ni utani lakini ndani kuna ukweli
Yooo yooo tanzania na wananchi
Wake akili zetu tunazijua wenyewe tu yooooo yoooo
Aaaaahhhh yeeee baghoshaaaaaaaaa
Hata barabani tunafanya
Biashara kwa amri ya jpm
Wakuu wa mikoa na wakuu
wa wilaya acheni shobo
nchi ni yetu sote acheni tufanye
Biashara kwa amri ya jpm
yoooooo aaaahhhh aaaaaahhh
Siyo uchochezi ila ukweli ndyo
huo
Dah aisee bangi nzuri sn
 
Aishah2016 bangi ni nzuri uivute
Ukiwa na uhakika wa kula na kazi
Ya kueleweka sasa wewe iparamie na njaa zako kama hujaokota makop bangi niachie mimi babu yako tu ndiyo naiweza
 
Back
Top Bottom