Maanake nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maanake nini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 4X4byfar, May 27, 2010.

 1. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unkutana na msg kama hii kwenye sms ya mumeo "mchana kutwa hujanikohoa, hulali tuu.lol", maana yake ni nini kwa kweye kuelewa hio misemo. Advice please
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhhhhhhhhhh mafumbo sio
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama sms ilikuwa intended kwako, muulize mumeo. Vinginevyo hukutakiwa kuisoma mezea usitafute maana yake. Unaweza kuumia ati.
   
 4. M

  Mkula New Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri labda walikuwa wanachat kwa sms mchana kutwa hadi muda huo kama ilikuwa ni ucku ndio akawa anamwambia hajachoka tu ...ni mtazamo wangu tu!
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Achana na simu yake....
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hiyo ni msg imetumwa nite kali (na mume) kwa mtu then mtu akarudisha majibu hayo ikiwa na maana kuwa mchana mzima alimchunia bila kumtumia msg ndio kamtumia msg usiku huo...pole lakini ukweli ndio huo japo unauma....usipende kusoma msg za mwenzio utakufa siku si zako
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  MmMh! Hivi preta, kwani ww una cheti katika maswala ya udanganyifu naku-du ze nedful katika mambo ya MILA?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  he he he....wewe ukikuta msg kama hiyo hutaielewa? au hata kama hujui kusoma picha hutaielewa? mimi simu yangu hashiki mtu wallah nakwambia
   
 9. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante dear, maana nilifikiria hivyo pia. Tena basi kinachonifurahisha ni kuwa baada ya kumjibu yangu (kuwa asiwe na wasiwasi msg nimeiona na waeendelee tuu na mambo yao mimi sina noma yoyote...) acha mwan´dada anikurupukie na maneno, ooh, msg ilikuwa inaenda kwengine sio kwa mme wangu, mara sijui mme wangu sio type yake, yeye ni mtu high class, nikitaka kumjua vizuri niulize watu, mara angelikuwa anamtaka nisingekuwa nimekanyaga ulaya...too much rubbish. Nilichomwambia ni Thanks for the information tuu. Nikweli mme wangu anajigonga sana kwa huyu mama (maana ni mzee kweli tumepishana kama 15 years) ili nimuone mkali, siunaelewa tena. Anyway thanks for the advice.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kubwa ni kujitahidi nyie mlooa au kuolewa muwe waaminifu katika ndoa zenu na kuwaridhisha waume/wake zenu ili wasitoke nj ya ndoa!
   
 11. A

  Audax JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole saana,wewe mweke mungu mbele ndo mlinda ndoa. Na ikitokea unakuwa na wasiwasi saaana wewe ongea na mmeo moja kwa moja.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wasikutishe...hizo ni kelele za chura hana lolote....ukiona mtu anakujibu majibu mengi kwa swali ambalo hujamuuliza ujue kaangukia pua hana chochote
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Pole sana mama kwa hali hii,
  Una maana kuwa unajua kuwa mumeo huwa anajigonga kwa huyu mama?, nani ni mzee? mumeo au huyu mama? na nani anataka umuone mkali ni mumeo?

  Kama alivyosema Preta kama unaona majibu mengi ujue there is something, na kama ulikuwa unajua chochote before basi huo ni ushahidi.
  Mi naona uwe na subira, lakini pia mumeo lazima umweleze kuhusu hili.
   
 14. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mwaya shosti, kuangukia pua maanake nini tena! unajua mimi hii misemo semo hunipitaga saa nyingine mwaya. Nikweli usemayo maana sikumuuliza maneno debe! kha, ndo nikamwambia mme wangu na hata yeye woa walikuwa hapa wanajuana siku nyingi kwa nini sasa huyu mama shangingi asingemchukuaga na kumuweka ndani. Mume kimya. Nikweli wasinitishe wala wasinibabaishe tena na mauzeee yao inayowasumbua alafu kujidai kupenda ujana. Ntawamwaga mavi wote ndo watakapo jua kweli mimi bado spring chicken. Alafu huyo mama, nilijiuuliza kama yeye kweli ni high class mbona tupo wote tunafyagia mavi ya wazungu huku. Siangeenda kukaanao maofisini wadonyoe wote macompute tumuelewe basi. Kweli shosti ni kelele za chura tuu hizo.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mmh sasa hapo kwenye bold shost umenimix kidogo, sijaelewa ujue..........
   
 16. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani am still young ukilinganisha na wao mimi na Mr tumepisha almost 11 years, yani nilikua nasema wasiniletee uzeee wao, ilihali wanajifanya eti kama bado tupo rika moja, ntawafanyia mbaya babake.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ooooh....basi ongea vizuri na mzee mrekebishe hii mambo, coz kama walikuwa wanajuana tokea mwanzo na hakumuoa ni kwamba hakuwa anafaa..
  wewe umemfunika mbaya na utakuwa umesimamia kucha
   
 18. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilishamwambia Mr, akajidai naye kusema hivyo pia kuwa kama angekuwa anamhitaji angemuo...swali sasa mbona bado mawasiliano kama hayo yaendelee bayana yao. Ooh, sijui eti hilo limama lina mume wake sema anamuombaga Mr. amsaidie na kutafsiri lugha...hell! no nkamuuliza kawanini asitafute mwanamke awe mtafsiri wake! kukawa hamna jibu. Nikweli dear, kama hawakuonana hapo awali kuwa wanashabiana basi wameula wa pumba...tena ni kweli dadangu mimi ndo niliye simamia ukucha!kha wewe Pretty ama kweli unamaneno dear wangu. Watu kama nyinyi yani ndo mnaofaa humu jukwaani kwa kweli. Prettyyyy oooooeeeeeehhhhhhh :target:fagilia wawawaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh. lol! umeniache hoi na raha tele mama.
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,837
  Trophy Points: 280
  Hata kama mimi ningekuwa mme wako, ninge-cheat!.:rolleyez:
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red

  Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?[​IMG]
   
Loading...