Maana za maneno kwa kisw fasaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana za maneno kwa kisw fasaha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Feb 15, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  FATAKI-Kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo ktk risas AU karatas zinazotengenezwa na kutiwa baruti ndani
  CHEMUA-kupga chafya
  KINYO-mk*ndu
  MARMAR-marumaru
  UJAPOJAPO-uchochoro
  SALATA-mtu mwenye tabia ya kuchonganisha watu kwa kuchukua maneno ya huku na kuyapeleka kwingne.
  MWARANDA-tundu la kutolea haja kubwa.
  MANENO HAYA NI FASAHA KUTOKA KAMUS YA KISWAHILI SANIFU,tukienz kiswahili chetu
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmh! Sijawahi sikia hata moja kati ya hayo huku mtaani ukiondoa hilo la fataki.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahahah,KATAVI,hata hlo fatak halijatumiwa kifasaha,kiswahili ni lugha adhimu na maridhawa
   
Loading...