Maana yake niini? Tumewachoka jamani; mabendera ; maprado ; maapolisi; acheni mbwembwe fanyeni kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana yake niini? Tumewachoka jamani; mabendera ; maprado ; maapolisi; acheni mbwembwe fanyeni kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Aug 14, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [h=3]
  [/h]

  [​IMG]
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
  [​IMG]
  Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma

  [​IMG]
  Wazee kwenye mkutano wa CCM, Uwanjwa wa Community Cetre Mwanga Kigoma

  [​IMG]
  Viongozi mbalimbali wa CCM waliohudhuria katika mkutano huo.
  You might also like:
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Watu wenyewe wanahesabika
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  haha haya matukio ndio muafaka kwa wapiga picture za propaganda na wasoma picture kushindana.Ni kawaida sana kwa siu hizi mpiga picture wenye kauwezo kidogo na hisia za chama husika kupeleka ujumbe wa uongo kwa camera yake.Chama ukipendacho unakijengea Taswira,ukichukiacho unakiharibia haiba.Na wasoma picture wanapambana kutafsiri.
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Mi sijui ni wapiga picture wa CCM au ni intentional.Na kama ni Intentional ujumbe nini hapa?Hivi watu wa iman ingine hawazeeki na kuitwa wazee?halafu hizi picture zinapigwa kwa staili hii pia katika mukutano na wazee wa dar.
   
Loading...