Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Ni jina wanaloitana Mawakili yani akimuona mwenzie anaweza kumuita kwa jina ka msom badala ya jina halisi la mhusika
 
unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa mwanasheria ila baada ya kupata postgraduate diplpoma in legal practise unaitwa wakili msomi. ni kama kwenye uhasibu au uhandisi baada ya kumaliza degree ya kwanza mtu anaitwa mwasibu au mhandisi ila mpaka uwe auditor au mhandisi majengo kuna course lazima uende for registration purpose!!!!!!!!! ndiyo maana ya wakili msomi yaani mtu ambaye anjua na kufahamu kila kitu
 
unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa mwanasheria ila baada ya kupata postgraduate diplpoma in legal
practise unaitwa wakili msomi. ni kama kwenye
uhasibu au uhandisi baada ya kumaliza degree ya kwanza mtu anaitwa mwasibu au mhandisi
ila mpaka uwe auditor au mhandisi majengo kuna course lazima uende for registration purpose!!!!!!!!! ndiyo maana ya wakili msomi
yaani mtu ambaye anjua na kufahamu kila kitu

maelezo mazuri kabisa great thinker i hope muuliza swali atakuwa ameelewa pia
 
learned counsel ni terminology iliyototolewa toka kwa wazungu kuonyesha kuwa ili uwe advocate lazima upitie kwenye bar exams au postgraduate ya law practice huo mchujo ndio unaowatofautisha na fani zingine ,ila si kweli kuwa advocates wanajua kila kitu,

Kwa hiyo fani zingine zenyewe hazina michujo? Watu wanapita na kupitishwa tu na hivyo hawastahili kuitwa wasomi?
 
mwandishi wa habari ana mchujo gani,walimu wa voda fasta,wataalamu wa IT utundu wako tu,labda madaktari ndio wanastahili kuitwa wasomi kwani kwa fani zingine huwezi kuitwa doctor mpaka uwe na degree ya uzamivu,na jina waliamuakujipa kulingana na nature ya kazi yenyewe
 
Tuanze na walimu kwanza. Ni huko kwenu tu ambako watu waliopata alama za chini ndo huchaguliwa kusomea ualimu. Huko kwingine duniani huwezi tu kuwa mwalimu bila kuwa na leseni ya ualimu. Na huwezi kupata leseni ya ualimu bila kupitia mafunzo ya ziada ya ualimu. Huko si kusoma?

Waandishi wa habari weledi wao hupimwa kulingana na habari waandikazo. Huo nao ni mchujo. Na fani ya habari ina sekta nyingi. Na kuna kozi nyingi tu za kuongeza ujuzi na weledi katika fani. Huko si kusoma?

Kwenye IT nako hivyo hivyo. Ni lazima uende na wakati ili kukidhi kasi ya ukuaji wa teknolojia. Na huwezi fanya hivyo bila kujifunza mapya yatokeayo. Kujifunza ni sehemu ya kusoma pia. Na kusoma ndo usomi wenyewe huo.
 
unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa mwanasheria ila baada ya kupata postgraduate diplpoma in legal practise unaitwa wakili msomi. ni kama kwenye uhasibu au uhandisi baada ya kumaliza degree ya kwanza mtu anaitwa mwasibu au mhandisi ila mpaka uwe auditor au mhandisi majengo kuna course lazima uende for registration purpose!!!!!!!!! ndiyo maana ya wakili msomi yaani mtu ambaye anjua na kufahamu kila kitu

Ili usajiliwe kuwa Engineer “Registered Engineer” lazima uende course gani?

Na umesema ukienda hiyo course ndo unakuwa “Mhandisi Majengo”,so hata electrical au mechanical Engineer nae ataitwa Mhandisi majengo?
Naomba ufafanuzi,unless tengua kauli
 
Tuanze na walimu kwanza. Ni huko kwenu tu ambako watu waliopata alama za chini ndo huchaguliwa kusomea ualimu. Huko kwingine duniani huwezi tu kuwa mwalimu bila kuwa na leseni ya ualimu. Na huwezi kupata leseni ya ualimu bila kupitia mafunzo ya ziada ya ualimu. Huko si kusoma?

Waandishi wa habari weledi wao hupimwa kulingana na habari waandikazo. Huo nao ni mchujo. Na fani ya habari ina sekta nyingi. Na kuna kozi nyingi tu za kuongeza ujuzi na weledi katika fani. Huko si kusoma?

Kwenye IT nako hivyo hivyo. Ni lazima uende na wakati ili kukidhi kasi ya ukuaji wa teknolojia. Na huwezi fanya hivyo bila kujifunza mapya yatokeayo. Kujifunza ni sehemu ya kusoma pia. Na kusoma ndo usomi wenyewe huo.
hizo fani juu ni kama kokolo au kapu la mjinga au chaka la wasomi na vihiyo kuna wasomi na makanjanja wamejichanganya ila hakuna wakili kanjanja huwezi kusimama mahakamani kutetea mtu kama wewe ni kanjanja u got me
 
Kwanza, 'wakili kanjanja' ni nani?

Pili, unataka kunambia mawakili wote wa Kitanzania kiuweledi wako sawa?

Weledi wa Ridhwani Kikwete na Masumbuko Lamwai ni sawa?

Wote rekodi zao za win-loss ziko sawa?
 
why lawyers regard themselves learned
Lawyers are not just learned no they are widely
learned. The others are learned yes. But do you
know that lawyers are the only people who have to
go thro the inn of learniig everything that can be
learnt. They are the only people that you will
never hear that they dont know anything because
they have read them all. The law is quite unlike
other courses which do restrict themselves to only
their content but they read across the bord. For
example in the school of medicine it is you are
most unlikely to find insurance being taken into
the depth it deserves, in the school of mechanics
you are unlikely to find matters of medicine being
handled as a serious issue, in school of agriculture
you are most unlikely to find matters of
engineering being handled with the seriousness it
is worth.
And now back to the leaned friends, they learn all
the fields that exist the law of everything that
exists and remember they learn the background of
everything and that places them in a better place to
argue anything that comes their way with
precision. You will see them winning cases that
involve any matter that can possibly exist. Tell of of
a lawyer that does not know anything about
anything and i will tel you that is not a lawyer.
Lawyers know everything about anything now tell
of why they are not learned again. nimeitoa google huko...
 
The biggest bunch of brainwashing and misleading baloney I've ever read/ heard!
 
Back
Top Bottom