Maana ya Ushindi wa CCM Igunga kuelekea Chaguzi nyingine zijazo

Faizafoxy,
I can't believe my eyes. Huyu ni wewe kweli au kuna mtu kaiba ID yako? Au ile safari Marekani imekufungua macho?

hivi marekani walibadilisha utaratibu wa kuangalia nani achukue visa?
 
Ni kweli kwa mwenye akili, CCM wameshindwa Igunga. Nguvu kubwa ya chama dola iliyotumika katika kampeni za Igunga na kura tunazoambiwa wamepata,wajiandae kuondoka Ikulu ifikapo 2015.
 
Mshindi si mshindi kama amechakachua uchaguzi ambao haukuwa huru na wa haki. Kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi basi magamba wasingeweza kabisa kuchakachua kura na hivyo kuibuka na ushindi. Kama kweli kutakuwa na katiba mpya 2014 na tume huru ya uchaguzi na siyo hii iliyopo sasa (tume ya uchaguzi ya CCM) basi 2015 ndio utakuwa mwisho wa CCM katika anga za siasa Tanzania.
Hivi huyu Tendwa kwa nini hajiuzulu kwani yeye na tume yake ndio chanzo cha kuharibu democracy hapa tz mwaka wa 2010 amesababisha watu wengi wameshindwa kupiga kura kwa kuweka sababu zisizo na msingi yani mtu uko hapahapa tz ukisafiri tu mkoa mmoja kwenda mwingine tayari umeshapoteza haki yako ya kupiga kura...kwa maoni yangu ukiachana na ukereketwa wake kwa chama tawala Tendwa na tume yake wote wamechoka kufikiri na hawana jipya...TENDWA OOOUT OOOUT OOOUT
 
hivi iweje nape akajibebesha jukumu la nec,kutangaza matokeo kabla ya msimamizi wa uchaguzi?
 
Faizafoxy,
I can't believe my eyes. Huyu ni wewe kweli au kuna mtu kaiba ID yako? Au ile safari Marekani imekufungua macho?

Ukiona FF anajitahidi kutumia akili kujibu, ujue kuna kina kitu siyo bure!! CCM wamebadili mtindo wa kuiba kura, kwanza wanatanguliza matokeo ya ushindi ili kuwaandaa watu kisaikologia!! Sasa akina FF kazi yao ni hupiga propaganda ili matokeo yaonekane ya kweli!!!
 
Hayo yote ni majungu, usilolijuwa ni usiku wa kiza. Mbona fedha za NSSF alizokwapuwa Mbowe haziongelewi? au yeye ana haki zaidi ya kuiba?

This is the FF we all know!! Akikasirika tu kidogo anasahau na kazi yake humu JF!!!
 
Hahahahaha leo nacheka tu sina comment jamani Ushindi ni rahaaaaa! CCM oyeeeeeee! Magwanda ziiiiiiiiiiii!
 
Mie nilikuwa nasubiri matokeo kupitia karedio kangu ka mkulima lakini nehiii mpaka nimechelewa kazini, sasa nimejua sababu kwa nini yamechelewa....
 
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.

Mhhhhhh!!!!!!!!! Hata wewe?????????????????????? Kweli mabadiliko yameanza.
 
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.

Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.

Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.

Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.

Nimevutiwa na post yako tena hapo kwenye red nimevutiwa napo sana ....Leo nimekusoma tofauti na siku zote jamaa yangu .
 
Hizo sababu ni za kitoto. Kama unayajuwa yote hayo kabla ya uchaguzi uliingia kwenye kinyang'anyiro kwanini, si ungesusa kama kawaida yako?

Na hao kina Mbowe na Zitto na Mdee na wengine wengi tu waliopo bungeni walichaguliwa kukiwa na tume ipi? Wacha.

wamelaaniwa wale wote wanaofurahia maovu
 
umejitahidi kutoa takwimu ambazo kimsingi zinazungumzia mchakato mzima pamoja na changamoto zinazo zikabili ccm na cdm uchaguzi igunga.
Umekua muwazi kwakukubali matokeo pasipo kutoa visingizio visivyo maana.hivi ndivyo magwanda wenzio wanavyopaswa kua kwani hii ndio demokrasia.
Ccm oyeee!
c.c.m hongera ushindi ni ushindi hata kama ni kwa point zanzibar ni hivyohivyo
 
tumechoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka na mapambo yenu wala hayatusaidii ila namna hii chama tawala mtajipanga kuongoza nji hii
 
Niko hapa mjini Arusha ni kwamba viongozi wa vijana wa ccm ninaona wanazunguka barabara za jiji hili wakiwa na magari na pikipiki zenye bendera za ccm wakishangilia ushindi wa igunga! cha kushangaza hamna hata mtu mmoja anaandamana nao watu wanaangalia na kusunya tu. MY TAKE:INAONEKANA CCM SASA HAWAJIAMINI TENA NDIO MAANA HATA KAUCHAGUZI KAMA HAKA KA JIMBO MOJA WANANDAMANA HUKU HAWAKUAMINI KAMA WANGESHINDA.
 
Achilia mbali hao wa Arusha, hata wale wa igunga hawana cha kushangilia kwa sababu watakuwa wanashangilia ujinga tu. Hao wa arusha ndiyo punguani kabisa. Hivi kuna kitu gani cha kujivunia katika chama cha magamba??? Uelewa wa watanganyika kweli uko katika kudanganyika. Hebu tuwaulize hawaoni mafisadi walivyoimaliza nchi hii?? hawaoni rasilimali za nchi zinavyohamishwa na wanaoitwa wawekezaji kwa faida ya watu wachache?? hawaoni madini yetu yanamalizwa bila nchi na sisi wenyewe kuambulia kitu?? hawaoni machafu mengi mengi mengi ambayo chama chao cha magamba kimetufikisha katika nchi hii?? Hivi ni nani atakuja kuwaelimisha watu hawa wanaoshangilia ujinga??????
 
Nimepishana nao barabara ya Nairobi karibu na mataa ya mianzini dreva wao mmoja akawa anaover take ovyo nikampelekea bulbar ya mkonga akanywea! ikabidi arudi katika line yake.
Kilichonishangaza kibali waliomba saa ngapi na walipewa saa ngapi na je nini tafsiri ya escort ya polisi katika maandamano yao! au ndiyo kunya anye kuku akinya bata nomaa.
 
Back
Top Bottom