Maana ya uhuru wa zanzibar ilikuwa ni wazanzibar kuwa huru sio kuendelea kuamuliwa na kupangiwa?

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
zanzibar_uhuru_63_scaled.jpg

Mh karume speech ya maana ya kupigania uhuru. bonyeza vidio
swahilivilla: UHURU MAANA YAKE NI NINII? SHEIKH ABEID AMANI KARUME
 
Kakke,

..tatizo la karume alikuwa hathamini wasomi.

..angekuwa anasikiliza ushauri wa wasomi asingejenga TV station, kabla ya kituo cha utafiti wa karafuu, au chuo kikuu cha ZNZ.

..angesikiliza wasomi asingempoteza Azizi Twala ambaye alipinga uamuzi wa SMZ kutumia fedha za kigeni kununua peremende.
 
Last edited by a moderator:

peremenede Halua, and the sort.Kumbe hawa jamaa hawajakua eh?Ndio maana watu sukari ni issue, matumbo hayo.
 
Back
Top Bottom