Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Mh karume speech ya maana ya kupigania uhuru. bonyeza vidio
swahilivilla: UHURU MAANA YAKE NI NINII? SHEIKH ABEID AMANI KARUME
Kakke,
..tatizo la karume alikuwa hathamini wasomi.
..angekuwa anasikiliza ushauri wa wasomi asingejenga TV station, kabla ya kituo cha utafiti wa karafuu, au chuo kikuu cha ZNZ.
..angesikiliza wasomi asingempoteza Azizi Twala ambaye alipinga uamuzi wa SMZ kutumia fedha za kigeni kununua peremende.