Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum.
Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba
Masaburi ni jina meya wa Dar se salaam.
Angalia mfano hapa.. linamaanisha huyo meya?Masaburi ni jina meya wa Dar se salaam.
Angalia mfano hapa.. linamaanisha huyo meya?
https://www.jamiiforums.com/sports/871-arsenal-special-thread-699.html
kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa jamiiforum.
Inanitatiza kujua maana yake... Most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba.
Unazidi kuniacha mkuu,
Labda kiswahili sikifahamu vizuri... by maketio unamaanisha nini?
huh................FATAKI?yule mbunge wa znz achaneni nae atawaoa vitoto vyenu vya drs la 7 anatamaa sana na ndoa ya watoto

Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum.

Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno!

Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba

Masaburi ni jina meya wa Dar se salaam.

ALIEWAAMBIA WABUNGE WENZIE WA DAR WANAFIKIRIA KUTUMIA MAKALIO! KI JF NI MAKALIO

Unazidi kuniacha mkuu,

Labda kiswahili sikifahamu vizuri... by maketio unamaanisha nini?