Maana ya Mwanamke kutokuwa na wasiwasi kuhusu wewe na mahusiano yenu

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani.

Na anaposema ana wasiwasi kuhusu yeye ataharibu mambo, ni kwamba, Anakwepesha ili usijione mbaya au we ndo chanzo cha kitu kibaya. Lakini maana yake anajisikia vibaya kuwa nawe muda huo. Huo wasiwasi anakuonea huruma atakapokuacha. Sababu umekua mtu wa hisia sana. Na huo wasi wake ni kwamba hajui utamchukuliaje, au utafanyaje akishakuacha. Hasa kama nyuma aliacha mwanaume alafu bado akawa king’ang’anizi.

Hadi kufikia hapo inatokea pale unapokua dhaifu. Mwanzoni anaweza kukupenda kwa hela labda. Lakini baada ya hapo kama si jasiri, udhaifu wako utaonekana tu.

Ukiwa mtu wa hisia hisia sana, kidogo tu unamkumbusha “nakupenda”, mara huwezi kuishi bila yeye, mara ‘ukiondoka utaniumiza moyo’ au unamsifia kila saa hadi sifa zako hazina maana tena mpaka inabidi uelezee ulichomsifia. Pengine unalia kuhusu mwanamke. Au Unamweka kama ndo mtu wa kukupa amani. Apo utakua umeonesha udhaifu.

Hakuoni kama mtu anayestahili kuwa naye kimapenzi. Sababu unamfanya awe na wasi kuhusu hisia zake.

Badilika. Punguza hisia sana, kama ulijifunza kwenye muvi achana nazo. Kuwa mwanaume ambae mwanamke anawasi juu yake. Anawasi kwamba asipojitahidi kukuridhisha hatokupata.
 
Na bado utampoteza tu, mwanamke akihisi hovyo hubadirika hapohapo. Anataka umpende, na uwe mpya kila sikuuuu.
 
Zinaitwa unrealistic expetations, the best way be you and hope for the best, if she wont like you then ridhika move to the next one
 
Wanaume wanaelekezwa namna ya kuishi na mwanamke , kwamba ukiwa unamwambia mke wako kila sku kuwa unampenda atakuona boya

Ni kweli, i used to be like that, the truth mwanamke anajua kama unampenda au lah, kumwambia kila siku kutamchosha atakuwa boerd na wanapenda kuwekwa roho juu all the time

Huu ni ukweli ambao hawatakuambia. mfano mdogo why wanawake wanakaa sana kwenye abusive relationship than normal one?
 
Kama mwanamke ulimtokea at the same time naye akakupenda unaweza mfanyia huo usenge na akatii na akafanya kila juhudi kulinda uhusiano , mwanamke uliyemhangaikia ukatumia nguvu ya pesa n.k usijarbu kufanya huo ujinga boss ... Utakuja kutulilia humu

Hata hvyo ndo mana kila sku tunaandika humu , oa mwanamke anayekupenda utaweza kusimamia uanaume wako vzur na utawala wako utasimama ,
 
Wanaume wanaelekezwa namna ya kuishi na mwanamke , kwamba ukiwa unamwambia mke wako kila sku kuwa unampenda atakuona boya
Wavulana mjitambue mtofautishe uboyfriend/ ugirfriend na mume na mke .Kuoa maana yake umeachana na wanawake wote umemchagua mmoja wa kumpenda na kuishi nae ni uboya kusema umemchagua mwakamke wa kuishi nae halafu unase a humpendi utakuwa hujui nini maana ya kuoa ,urafiki hauna agano la kudumu ,ndoa ina agano la kudumu kama huwezi agano la ndoa usioe wala usiolewa wee ishi ukigawa uroda au kula uroda kwa Raha zako utapozeeka ndipo utajua hujui ,halafu uanze kutafuta pointment za uzeeni huku unameza dawa za pressure na za kisukari kupanga ni kuchagua
 
Kama mwanamke ulimtokea at the same time naye akakupenda unaweza mfanyia huo usenge na akatii na akafanya kila juhudi kulinda uhusiano , mwanamke uliyemhangaikia ukatumia nguvu ya pesa n.k usijarbu kufanya huo ujinga boss ... Utakuja kutulilia humu

Hata hvyo ndo mana kila sku tunaandika humu , oa mwanamke anayekupenda utaweza kusimamia uanaume wako vzur na utawala wako utasimama ,

Hapana brother i have dated a lot of chicks, although wapo different ila kuna kitu wana seek , high value man.
Now find out high value what it all about practise alafu unipe majibu.

Although nitakubaliana na ww oa ambae anakupenda maana itakuwa rahis kukusikiliza.
 
Hao wote ulikuwa huwapedi, uliwatongoza Kwa Tamaa hukuwa na nia nao thus why wao ndo waledemand hayo mahusiano na sio ww.... Nakupa kazi wanaume waliooa wanawake ambao hawakuwa wa ndoto zao Yan ikitokea tuu huyo mwanamke akamuoa Ila hakumpenda ( na ndio wengi) asilimia 90 ndoa zao zimesimama , na wanaume waliooa wanawake wa ndoto zao kimsingi wanapelekeshwa balaa ,Kwa nn huwez Vunga Kwa mtu et humpend wakat unampenda, upendo utajionyesha tuu....
Hivyo wazo la mtoa mada linafanya kaz katika mazingira ambayo mwanamke ndo anampenda mwanaume ,

Solution ni kutokuoa mwanamke unayempenda Sana lazima akukimbize tuu CSE huwez Vunga humpend wakat unampenda
 
Wavulana mjitambue mtofautishe uboyfriend/ ugirfriend na mume na mke .Kuoa maana yake umeachana na wanawake wote umemchagua mmoja wa kumpenda na kuishi nae ni uboya kusema umemchagua mwakamke wa kuishi nae halafu unase a humpendi utakuwa hujui nini maana ya kuoa ,urafiki hauna agano la kudumu ,ndoa ina agano la kudumu kama huwezi agano la ndoa usioe wala usiolewa wee ishi ukigawa uroda au kula uroda kwa Raha zako utapozeeka ndipo utajua hujui ,halafu uanze kutafuta pointment za uzeeni huku unameza dawa za pressure na za kisukari kupanga ni kuchagua
Ataelewa tu mtoa mada akikuwa
 
Hao wote ulikuwa huwapedi, uliwatongoza Kwa Tamaa hukuwa na nia nao thus why wao ndo waledemand hayo mahusiano na sio ww.... Nakupa kazi wanaume waliooa wanawake ambao hawakuwa wa ndoto zao Yan ikitokea tuu huyo mwanamke akamuoa Ila hakumpenda ( na ndio wengi) asilimia 90 ndoa zao zimesimama , na wanaume waliooa wanawake wa ndoto zao kimsingi wanapelekeshwa balaa ,Kwa nn huwez Vunga Kwa mtu et humpend wakat unampenda, upendo utajionyesha tuu....
Hivyo wazo la mtoa mada linafanya kaz katika mazingira ambayo mwanamke ndo anampenda mwanaume ,

Solution ni kutokuoa mwanamke unayempenda Sana lazima akukimbize tuu CSE huwez Vunga humpend wakat unampenda

“Hao wote ulikuwa huwapendi”. Man you have no idea.
Moja ya rules zangu i dont pretend, nikipenda napenda, kama sipend sijiangaishi hata na salamu.
Nilisha fall multiple times in love,nikalowea, nikawa nacall , nacare kupitiliza, mpaka sometimes nafanya mambo ambayo yalikuwa beyond me. All ni kumfurahisha mabinti wa watu and what did i get? Dissapoinent and heart break.
Now sisemi wote ni wabaya, at one time the got bored, they start fading away.
Lakin almost all of them walikuwa wana display random behaviour, they fade away after you cared too much.
 
Siku akielewa true nature ya mwanamke, ata reverse hizi kauli man.
Wahenga wanna msemo wao kosea vyote lakini usikosee mtu wa kumuoa au wa kuolewa nawe utaishi maisha ya majuto sana ukikosea kuchagua swali utawezaje kuchagua mtu sahihi kila mwanadamu ana unique choice yake hapo ndipo mtego ulipo
 
Back
Top Bottom