Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,023
- 71,230
Joka Jeusi ... kuna mabint wamepoteza usichana wao wakiwa wadogo wa umri kiasi kwamba ni mwili ndio ulowasukuma
Wengine kwa kubakwa , na wengi wanabakwa ila wanaishia kukaa kimya.
Wengine ni sababu ya Maisha, kukosa malezi ya Wazazi, uchumi n.k.....
Wengine kosa lilianzia kwa Wazazi wao kwa kushindwa kuwapa Elimu ...
LAKINI MWISHO WA SIKU, IKIWA KAMA MWANAMKE ASIYE BIKRA NA ALIYE BIKRA, WOTE MUNGU ANAWAPENDA na NAFASI YAO NI SAWA, kwann tuwatenge namna hii??
Nikweli Kuna faida ya kuoa mwanamke bikra, ILA NIAMINI MIMI HAPA, NMEWALA WANAWAKE WAWILI WAKE ZA WATU WALIOOLEWA NA BIKRA ZAO KABISAAAA .
Suala la kugongewa Mke ni pana kidogo.
MIMI NISEME KUA, ILI MRADI KILA MWANADAM ANANAFASI YA PILI. ILI MRADI AMEKR NA KUUMIA ....BASI ANAFAA KUA MKE.
OYA WAKUUU, MIMI NAWASHAURI OENI WANAWAKE WENYE HOFU SANA MUNGU BILA KUJALISHA NI BIKRA AU SIO BIKRA, OENI WANAWAKE WENYE HOFU YA MUNGU KWELIKWELI.