Kwahiyo namna pekee ya kukabiliana na maisha magumu kwa mtoto wa kike ni kutoa uchi wake? Hiyo ndo njia ambayo unaona hawapaswi kulaumiwa wakiwa sio mabikra? Hivyo ndo namna akili yako inataka kumsaidia mtoto wa kike?Kama ulivyoahinisha kwenye hoja na 5,
Tatizo la utoaji mimba kwa sasa hivi ni kubwa mno, ukijaribu kufuatilia kwa juu juu tuu, ni wazi kuwa huu ni zaidi ya ugonjwa kwa jamii ya sasa. Na hii ni kutokana na ugumu wa maisha kila kukicha, Tumekuwa tukiwanyooshea wanawake vidole vya lawama, lakini kiukweli hawa watu wanapitia kipindi kigumu sana katika hii dunia ya tatu. So, ni vyema kuwaelimisha, kuwaombea na kuwatia moyo wa faraja badala ya kuwasuta na kuwakebehi.
Kundi kubwa sana unaligusa mkuu na kuna ile wengine tunasoma hizo points na kuanza kujihoji na kugundua kumbe ndo maana yanamtokea mzee Abdul kwa diamondUnajua haya mambo yanawagusa mpaka wakubwa wa nchi?
Mie huwa nauliza hivi hawa watu huwa wanatolewa bikra na akina nani,kila unae kutana nae hola,wengine wanadanganya wanayo ukijaribu unakuta bwawa na maji yake yamejaa.
Mkuu somo lako kwa hiki kizazi ni somo gumu sana kuwahi kutokea, watu sikuhizi wanaangaliana tu tayari washatongozana na kinachofuata...........Ooohooo!
@ jokajeusi. Mkuu mwamba wa kale, kamanda, mtetezi wa wana, nakuelewa sana kamanda . Hii siri ni kubwa sana