Kulewa mapenz kubaya sana. Ungefunga mdomo kupunguza aibu. Wachapaji usikute walikuwepo. Byee
Huyu ajui..Kuna Wanaume wanajua kutongoza na kusifia zaidi yake...Sijui Huku kujiamini KUPITILIZA anakutoa wapi..

Papuchi yangu...natembea nayo...UTAISEMEA VIPI HADHARANI.
Hapo BIKRA kashaitoa kabla ya harusi...SASA ANAJUAJE kwamba hakuna aliepita...

Bwegeeeeeer
 
Kwa karne hii, simshauri yoyote kuoa kabla hajaangalia yaliyomo yamo.

Nilikagua kabla sijaingia ndoani ili kuepusha usumbufu na kumdhalilisha binti wa watu. Maana kama nisingemkuta nayo ndoa ingevunjika usiku wake na ingekuwa ni aibu kubwa kwani hakuna anayeingia katika mkondo wangu akanichezea alafu akabaki safe
Sasa kwanini ulisema anastahili vazi jeupe ikiwa tayari bikra ulishamtoa,unajua maana ya shela jeupe
 
Furaha yako...Sio lazima iwe ya wengine
Screenshot_20210114-160005_1610730726758.jpg
 
Ni kweli Mke mwema anatoka kwa Mungu, lakini Mungu hawezi kukupa mke asiye na bikra huyo mungu labda wa singeli au vigoma.

Na bado utajuta zaidi ya hapo :D :D :D

Mimi hata ningekuwa mpumbavu vipi siwezi oa mwanamke asiye na bikra, sasa shangaa wewe unayejiona mwerevu unachukua vitu visivyoeleweka
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.
 
Basi ni vema
Kuna sehemu nliwahi kusoma
Nkakuta panasema hiviii......hakuna kiapo kizito kama kiapo cha damu..

Usimuache mkeo
 
huwa tunashangaa sana Mambo ya watu kwakua tunayajua..Mungu anatustiri...tungejua Yakwako mleta bandiko...nadhani usingeweka bandiko Tena..

Kuleta hizo case study za single mother..haimaanishi wote Ni wabaya..

Wewe kuoa bikwa na ndoa kudumu..haimaanishi wote walio OA bikara ndoa zilidumu..

Haimaanishi wote walio ambao Sio bikra ndoa hazijadumu..

Unajisifu na kujinadi Sana...ungali Bado hai?.. Unajitweza na kujiona upo juu Sana ingali hujafa?

Kama upo HAI.. anything can happen anytime..USIJIPE GUARANTEE YA MAISHAI.....BE CAREFUL with your words sir.
 
Kesho mapema nipo sinza kwa remmy

Fika karibu na
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.

Daudi alikuwa mzinzi, hakuwa na mke bali wake
 
Kwaiyo hao wake za watu uliotongoza wakakubali...nikwasababu hawakuwa na bikra wakati WAKUOLEWA.

Wewe wako UNAUHAKIKA gani akitongozwa anakataa?
 
Hiii Nguvu ya kuwaongelewa WANAWAKE UNAITOA WAPI MKUU...

Yaani Hadi nashindwa kukushangaa..

Yaani Maneno ya mkeo yanasimama mbadala ya mabikra woote..

Jokha jeusi...UNA UPUMBAFU flani hivi masikini
 
Ndoa yangu inamiaka nane sasa nimeoa 2013 nina mtoto sasa anamiaka 5, unataka nikue mpaka miaka mingapi?
Nina miaka 30+
Doooh....kwaiyo hapo unaona ndoa yako Ni Bora Sana...
Mkuuu jifunze kuongea machache....

Kwa umri wako huo...unatakiwa uwe na busara....na Busara Ni kupima Maneno kabla ya kuyaongea..

Unakazana kuquote biblia ...Lakini HUNA busara Wala hekima katika kuyaendea Mambo...Inshort WEWE NI MROPOKAJI..

na unalolitafuta UTALIPATA...
 
Huwaga wanawake wanachepuka wenyewe tuuuuu, wanaume nooooo, au!??? Si wanaume haohao haoahao haoahao ndio wanawachepusha!??? Naona wanaume wengine mmeanza kuluz memory sasa!!!
Wanawake huchepuka na kuzitoa bikira wenyewe, maana watoaji ndiyo hao hao wanao taka kuoa binti wenye bikira
 
Fika karibu na

Daudi alikuwa mzinzi, hakuwa na mke bali wake
Wewe utajifananisha na Daudi pamoja na uzinzi wake,mtu aliyekua anaongea na Mungu utajifananisha nae, ndio alikuwa na wake lakini uliona Mungu anampa maelekezo ya kuoa bikra kama wewe unavyovisha watu kongwa la bikra utafikiri ndio kitu muhimu mwenyezi Mungu aliagiza,usichokijua Mungu aliagiza makuhani ndio waoe bikra na alitoa na sababu sio sababu zako za kijinga unazotoa wewe huku ukiwa mtenda dhambi kama sie wengine.
 
Wewe Jokajeusi mimi bado sijaona ukonki wako na kama kweli wewe ni mwendawazimu, yani sijaona vizuri kama unajiamini kweli.

Unashindwa kumtambua Mchawi kwa kukaa nae nyumba moja, bado unakua na sito fahamu.
asee naona bado wewe mchanga sana.
Pili unasifia ana akili sana huyo mke kihasi hicho bila sababu za msingi bado.

Niambie unajambo gani jingine umewahi fanya kujionesha kua wewe ni Konki na sio mwepesi mwepesi kama wengine.

Maisha tunayajua vzuri na sisi.
 
Na mimi namzoom tu hapa.
Jamaa bado mchanga kifikra kabisa.
Then anakuja kutamba hapa.
 
Ungekuwa na busara ungemuacha na bikra mpaka baada ya kufunga ndoa. Baada ya kufunga ndoa na kuikuta bikra ndio ungeitisha kikao na kuongea maneno yako.

Una bahati Sana, ungekutana na wanaume shababi wangeinuka na kukuchapa makofi usingeendelea na hotuba yako.
 
Back
Top Bottom