Mkuu najua. Ila natamani nifungue kampuni liwe linazunguka mashuleni kuzungumza na watoto wa kike kuhusu umhimu wa bikra kama ambavyo wengine huzunguka kuhimiza uvaaji wa ped, ili watoto wapate elimu ambayo wazazi wengi wanaificha. Ukweli natamani watoto wetu warudi kwenye historia ya nyuma. Na ndo mana ck hiz kuna kilio kikubwa cha vibamia, wamesahau wamechezea mechi nyingi uwanja wao, zingne hadi wachezaji wa kulipwa kama TANGO, wamecheza. Huo uwanja hauwez kuwa salama ukitaka mchezaji mmoja local. Lazima ulalamike kibamia, ndoa hazina furaha kisa kuridhishana kwenye mechi za ligi za FA na Ligu kuu. Zaidi wanawake wanavunja ndoa zao makusudi ali wakakutane na akina TANGo😁 hatuwezi kufika hivi. Elimu n mhimu kwa vijana wetu. Dunia imekaa tenge, ukikaa vibaya inakumwaga jamani daaa. Nina mengi bc tu Joka jeusi.

Ukianzisha kampuni hiyo kuzungumza na watoto wa kiume utakuwa na success zaidi. Nyie si ndio watoaji bikra? Ndo mnaochezea watoto wa kike na kutupilia mbali?

Utaenda kuwaambia watoto kuhusu vibamia au?
 
Wakuu Mpo!

Mwaka 2013 mwezi march tarehe kapuni ilikuwa ndio siku yangu kuu ya harusi yangu na Mke wangu kipenzi, niliyesota naye miaka mitano kwenye uchumba.

Ilikuwa sikukuu na yenye furaha kwa sababu; Nilioa mwanamke mzuri sana. Yaani wakiambiwa wanaume watoke waliooa wanawake wazuri basi nami nami nitakuwa mmoja wao. Lakini jambo la pili na kubwa ni kuwa Nilitimiza ndoto na msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye bikra yake. Rafiki zangu chuoni nilikuwa nawaambia mimi kamwe siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra wakawa wanasema nisiseme hivyo kwani siwezi kujua Mungu kapanga nini, nikawa nawajibu kuwa Mungu sio anayeoa bali mimi ndiye ninayeoa. Wakasema wataona, na sasa siku ya wao kuona ilikuwa imefika. Hakika nilijivunia sana. Sababu ya tatu, mke wangu alikuwa ni ndoto ya kila mwanaume sio kwa uzuri wake tuu bali akili yake iliyochagizwa na elimu yake ya MD.

Muda wa Bwana harusi kutoa neno walau la shukrani ulifika, na hapa ndipo watu wakajua Jokajeusi ni mwendawazimu, niliongea maneno mazito sana lakini ndio ulikuwa ukweli wenyewe hata kama haukuwa unanihusu lakini ulihusu watu wanaume wenye akili timamu pekee. Nilisema;

" Mama(mkwe) kama ni kuzaa wengi wamezaa watoto wazuri kama mwanao, kama ni kusomesha wengi wamesomesha kama ulivyomsomesha mwanao. Hivyo kwangu mambo hayo ni sifa ndogo sana ambazo siwezi kuzitaja hapa kama sababu ya kukushukuru Mama yangu. Jambo moja kuu ninalokusifu Mama(mkwe) ni kumtunza binti huyu(hapa nilimuangalia mke wangu aliyekuwa kaangalia chini kwa aibu kwani alijua naenda kusema nini), sio kila mzazi amewatunza binti zake kama ulivyo wewe. Wewe ni Mama wa mfano na kuigwa. Mama(mkwe) kama nisingekuta bikra kwa binti yako ni hakika siku ya leo isingekuwepo kama Mungu aishivyo. Wala nisingekuja uchagani kutoa mahari na kujihangaisha. Lakini natangaza rasmi ndani ya Ukumbi huu mbele ya wakwe zangu, mbele za wazazi wangu, ndugu, jamaa na rafiki. Binti huyu nilimkuta akiwa msafi, akiwa kajitunza, anastahili kuvaa vazi hili la Bibi harusi, vazi jeupe kama alivyo yeye"

" Na kwa maana hiyo, binti huyu ni mke wangu kweli dunia ikishuhudia na mbingu zikitazama. Sio mke wa jamii kwani nilimkuta akiwa bikra. Nitamtunza kwa gharama kama alivyotunzwa na kuitunza bikra yake kwa ajili yangu, pengine maneno haya yakawa ya aibu miongoni mwenu lakini nimeona niyaseme tuu"
Nilimeza mate, wakati huo ukumbi mzima upo kimya, wengine wakiona nimeongea maneno yenye kuumiza wengine hasa wale ambao hawajaoa wakiniona kama mfano wao.
Nikamaliza kwa kusema;

" Mimi kama mwanaume, ambaye kwa sasa ni mume wa binti huyu(nikataja jina lake) naomba nieleze kuwa binti huyu nitaachana naye kwa sababu kuu tatu; Mosi, uchawi na ushirikina kama nitamkuta nao, pili, Kama atajifunza umalaya, na mwisho kabisa, kifo kikitutenganisha. Hivyo Mama mke siku utakayomuona binti yako karudi nyumbani usijiulize sababu ya jambo hilo, jua sababu ni moja kati ya hizo. Sina haja ya kukaa vikao yatakapofanyika makosa hayo, na ninyi kama mashuhuda katika sherehe hii maneno haya mmeyasikia kwa masikio yenu na kwa macho yenu mliniona nikisema haya. Niwashukuru wote kwa kushirikiana nami mpaka kufanikisha harusi hii. Ahsanteni sana"

Hayo ndiyo maneno ambayo niliyasema, ingawaje baadaye kama siku kumi hivi Wazazi wangu waliniambia kuwa sikuwa na sababu ya kusema mambo yale. Nikawajibu, kikao changu cha ndoa cha kwanza ndio ile harusi yangu na hicho hicho ndio kikao cha mwisho. Sitakaa kikao chochote kwa ajili ya ndoa yangu na ndio maana nikayasema yote palepale.
Wazazi wangu hawakuwa na chakusema kwani wananijua jinsi nilivyo na ndivyo walivyo nilea hivyo hivyo.

Jokajeusi
Uliwaaibisha sana mkeo na wakwe zako lakini. Hujitambui.
 
Ukianzisha kampuni hiyo kuzungumza na watoto wa kiume utakuwa na success zaidi. Nyie si ndio watoaji bikra? Ndo mnaochezea watoto wa kike na kutupilia mbali?

Utaenda kuwaambia watoto kuhusu vibamia au?
Mkuuu, muombaji na mtoaji nani anatakiwa kusisitizwa zaid, na athar nani anazipata zaidi??? Kibamia lazima kije kiwe kama mfano mkuu😆
 
Huyu mke wangu kwa Tanzania hapa wazuri kama yeye hawafiki kumi.
Urefu 5.6fts
Maji ya kunde mpauko
Tako nyama kilo 100
Macho meusi, makubwa kiasi yenye nyusi nyeusi tii
Sauti tamu kama kinubi
Midomo minene kiasi
Chuchu saa sita licha ya kuzaa mtoto
Kiuno 34 nyonga 48

Sasa unaweza kuchora hiyo picha
Nilikuwa nimeishaanza kukuamini lakini ulipofika hapo kwenye tako la kilo 100 alafu mke mwenyewe MCHAGA ilo TAKO kalitoa wapi?
 
Uzi huu unawakumbusha vijana wadogo ambao hamjaoa kuwa kupanga ni kuchagua.
Sumu haionjwi



Case Study ni Muna love na Casto, Mama Tiffah na Mzee Abdul

Nikiwaambia watu waoe wanawake bikra bado naonekana mjinga, mwanamke sio kiumbe wakuonewa huruma hasa akiwa hastahili huruma hiyo.



Jokajeusi
Warumi 3:23 kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
Usikebehi wenzio hata siku moja
Hii dunia iache tu kama ilivyo. ipo siku utashangaa nyie mnaojisifia juu ya bikra mnazalisha single mothers wa kutosha katika kizazi chenu , au utakuta ni uzao wa single mothers
 
Warumi 3:23 kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
Usikebehi wenzio hata siku moja
Hii dunia iache tu kama ilivyo. ipo siku utashangaa nyie mnaojisifia juu ya bikra mnazalisha single mothers wa kutosha katika kizazi chenu , au utakuta ni uzao wa single mothers

watakuwa watoto wapumbavu kama walivyo wapumbavu, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na mwana wa nyoka ni nyoka
 
Nilikuwa nimeishaanza kukuamini lakini ulipofika hapo kwenye tako la kilo 100 alafu mke mwenyewe MCHAGA ilo TAKO kalitoa wapi?

Wewe ndio umecheleewa nenda pale sinza kwaremi ulizia Dada Silvia alafu utaona huo mzigo alioubeba hapo nyuma,
 
Sasa utaoaje mwanamke aliyeachika wakati unajua mme aliyezaa naye yupo?
Nadhani single mother mzuri wa kuoa hata kama amezaa,ni yule aliyefiwa na mmewe basi! Kinachotakiwa ukimuoa kama mnataka kuishi naye vizuri mpende mtoto wake.
Unachopaswa kujua kabla ya kuoa Single mother,NI VIGUMU KUMTENGA MAMA NA MTOTO WAKE ALIYEMZAA! Uchungu wa mwana anaujua mama siyo baba.

Siku hizi vijana wa mechanganyikiwa,
 
Back
Top Bottom