Hongera kwa elimu ya kipindi cha ujima ndg mwandishi, je unajua kuwa kuna bikira za kutengenezwa? Je utajuaje ambayo sio ya kutengenezwa? Hebu hamasisha sasa na vijana wafanyiwe jando kwa makundi ili wapate elimu inayostahili kwani tunaweka hitimisho wakati tulipoangua hatupasemi.JE MWANAUME ANA BIKRA NGAPI NA JE ANATAKIWA AWE NAZO WAKATI ANAOA AU?

Mwanaume kamili hawezi shindwa kujua kitu natural na artificial hilo tuu ujue.

Kwani nywele si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi tofautisha?
Kucha si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi kutofautisha?
Meno, kope, n.k
 
6.5FT TALL!!!

Mwanamke mwenye urefu wa futi 6.5 kwa TZ ni mrefu sana, na ni ajabu sana wala hawezi kuwa kundi la warembo... ila kwenye FANTASY za Joka ni sawa tu!

Tumia akili kwenye utunzi, hapa husimulii wote watoto wenzio.
Kasema 5.6ft sio 6.5ft

Japo bado kwa urefu huo huyo sio wife material huyo ni building material
 
Uzi huu unawakumbusha vijana wadogo ambao hamjaoa kuwa kupanga ni kuchagua.
Sumu haionjwi



Case Study ni Muna love na Casto, Mama Tiffah na Mzee Abdul

Nikiwaambia watu waoe wanawake bikra bado naonekana mjinga, mwanamke sio kiumbe wakuonewa huruma hasa akiwa hastahili huruma hiyo.



Jokajeusi
 
Hhaahahahaaa

Hua mimi nashangaaga sana

Majitu unakuta yanakaa na kuanza kusifia maumbile ya wake zao mbele ya wanaume wenzake

Wanaume wa namna hii hua nina wasiwasi nao sana

Hawajiamini na walivyonavyo au hawaamini macho yao kua wame-deserve to have those bitches

Hivi sijui kwanini usifunge domo tu tukaongelea biashara na how to make more money...unaweka all your bets on a human being called a woman who can turn against you any minute?

Ndio maana mnatombewaga kiroho mbaya

Bure sana mijitu hii

Na mijitu inayoita wake zao huku haijaikuta na bikra huwa unaionaje?
 
Mwanaume kamili hawezi shindwa kujua kitu natural na artificial hilo tuu ujue.

Kwani nywele si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi tofautisha?
Kucha si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi kutofautisha?
Meno, kope, n.k
Unaijua umeiona wapi hiyo bikira na kama unajua tofauti basi wewe pia sio bikra.Hujanijibu kama je mwanaume anatakiwa kuwa na bikra wakati anao au?
 
Majitu yote yanayoongelea wake zao on anything ni mawanaume majinga tuu

Mke wangu this,mke wangu that...blah blah blah

Mwanamke ni mtu huru,anatombwa popote,wewe upo hapa ooh mke wangu this,ooh mke wangu that...na blah blah

As if you think ni mwanamke wako kweli,kumbe alikuoneaga huruma tu ukamuoa ila anapigwa pumbu na mwanamme anaemjua yeye more than you do

Na usiniambie eti najua mke wangu ananipenda mimi pekee yangu dunia hii,of which huna namna ya ku prove na ni uongo mtupu

Jambo moja ambalo umelionyesha ni kuwa umechanganyikiwa, hilo tuu.

Wewe kama umeoa mkewa jamhuri ya mafisi lazima uwe na mtazamo huo, sio kosa lako. Pole sana.

Sisi tuliooa wake zetu wenyewe tunakuangalia unavyohaha hapo. Na bado mpaka ufe kwa presha

Mke wa jamhuri ndio yupo huru kugongwa na wana jamhuri upo sahihi, lakini sio mke mwema anayetoka kwa Mungu aliyeolewa na bikra .

Endelea kupaniki mkuu ndio namna pekee uliyobaki nayo kupunguza uchungu moyoni mwako :D :D :D
 
Embu soma hapa maana nahisi naona naongea na mtoro wa shule
Unaijua umeiona wapi hiyo bikira na kama unajua tofauti basi wewe pia sio bikra.Hujanijibu kama je mwanaume anatakiwa kuwa na bikra wakati anao au?
 
:D:D:D

Sio kila jambo linahitaji research wewe, mbona unaakili za kuku

Hii mada imewapiga wengi lakini wewe ndio umeamua uwe case study humu, na watu wanathibitisha nikisemacho
Wabongo tuna maajabu sana, research tena!
 
Back
Top Bottom