Huo ndo ukweli Mimi sitaoa had nipate mwanamke bikra , ninae dem ananipenda sana hata kuwe na mvua atanitafuta bila kujali ananyeshewa kias gan lakin sijamkuta bikra Mimi sina mapenzi nae kwakua najua tayari alishapendana na mtu mwngne kabla yangu had akakubal kumpa bikra mi naona ni kama ananiigizia kunipenda tu sina malengo nae yoyote sijawahi kuanza kumtafuta kwa sms wala kumpigia simu siku zote anaanza yeye
ila nikikumbuka sijamkuta bikra namchukia balaa maana nilitegemea ntamkuta bikra maana ni mtt wa dinidini sana
 
Safi sana kiongozi, mwanamke kama sio bikra ni marufuku kumuoa, kuoa mwanamke hasiye bikra ni chanzo cha kuzeeka kabla ya wakati.
 
Wivu wa kijinga upoje?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Usio na hesabu wala uelewa!

Kususa Susa kwa kila mara.

Yani hata ikitokea mnatembea ukakutana na mwanamke mnaefahamiana kuwahi kuishi jirani au kusoma nae n.k nakwambia atanuna atazani ni mchepuko wako!

Simu yako atapekua na kukuhoji maswali ya kipuuzi.

Ukichelewa kurudi home ujue utakuta kesi ya kujibu.

Wanaishigi leo, hawanaga maono ya binafsi wala ya familia.

Nazani kwa hayo machache umepata picha.
 
Hivyo vinafanyika kwa jinsia yeyote na kwenye swala la maoni ya kifamilia tulidadavue kutokea mbali kidogo,
Mtu ni bikra hana experìence ya mambo hayo ya kifamili coz we believ hakuwa na mtu wa kupanga nae so anasikia tu au kuona kutoka kwa watu wengine, nini ufanye kama mwanaume anza kuimplement fikra zako katika bongo ya bint huyo kigoli ufurahie maisha

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuwaingiza mkenge wenzio kua waoe.

Kuoa ni jela ya kujitakia haijalishi umeoa bikra au malaya.
We mwenyewe upo hiyo jela kuna nyuzi zako kibao humu za uchepukaji, sasa yote hayo ya nini. Si bora uwe huru tu.
 
Me sitaki kusema mengi ila mimi kama mimi nakuombea joka jeusi upate hela kumzidi mkeo ila ukshndwa apo na karma uliyo ianza ile hufiki mba utaibiwa tu dudu ni dudu anasahau yote kama ulmtoa wewe cjui nini
kikubwa kuwa na hela zisiishe.
 
Hela haina nguvu Kama unavyoipa promo hapa.

OA Bikra Mkuu utakuja kunishukuru
 
Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.
Sisi wanaume tunaanza majukumu pale tu tunapo balehe. Hizi habari za kusema miaka 25 - 27 mnazitoa wapi ?
Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.
Sisi tunasema ndege wafananao ndiyo huruka pamoja. Mabinti bikra ni wengi sana,shida wengi si ndege wa kundi moja.

Hivi maana ya binti bikra ni yule ambaye hajawahi kujamiiana au yule ambaue hajawahi kuolewa ?
Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.
Hii ingekuwa imeandikwa vitabuni. Mapenzi hutengenezwa mzee.

Kadhalika na sisi tuna uzoefu wa kinyume chake.

Hakuna raha kama kumpata Mwanamke mwenye tabia njema. Hizi sifa nyingine za bikra ni ziada na ni nzuri pia.
Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.
Hii inategemea na kukata kwa kauli ya jumla si sahihi.
Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.
Hatubishi ila umeandika uongo.
OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
Oa mwanamke mwenye tabia nzuri,mwenye kuzaa sana na bikra ni sifa ya ziada tu.
Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.
Kwanini huogopi kuandika uongo ?
First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Hii first love ni mapenzi yenye utoto mwingi mapenzi yalijengeka katika mihemko na kubweteka.
 
Oyooo!!

Mwanamke uliyemtoa Bikra 90% wanausikivu, utiifu, upendo wa dhati yote.
Na ukitaka uone Raha ya mwanamke basi is mwanamke Bikra, utajiona mfalme, mwanaume KAMILi.

Lakini ni ngumu Kwa mwanamke gumegume kukutii, kukusikiliza, kukuheshimu, na kukupenda Kwa dhati yote.

Usione watu wanalalamika wanawake WA siku hizi sio watiifu, wajeuri na Malaya Malaya, chunguza 90% hawakuolewa na Bikra zao.

Kadiri mwanamke anavyolalwa na wanaume ndivyo anavyokuwa na roho ya kishenzi.

Huwezi fananisha mwanamke aliyelala na Mwanaume mmoja na Yule aliyelala na wanaume kuanzia watano mpaka kumi.

Hata mtazamo wao ni tofauti na namna wanavyokuchukulia,

OA mwanamke Bikra ufaidi Maisha.

Maneno ya magume gume yasikuchanganye ndivyo walivyo.

Wewe mwanamke amelala na wanaume kuanzia watatu sijui watano bado umuoe na umuite mke Kama sio kulogwa huko ni nini?

Mapovu ya magume gume siyataki leo!!
 
Bikra haina uhusiano na uaminifu wa mwanamke,update bahati awe na sifa zote.
Wapo waliooa bikra na wanasumbuka na ndoa zao
Haiwezekani ulazimishe kuoa bikra halafu mwanaume uwe malaya
 
We nawe kila siku unawaza bikra tu hapo ulipo ushachezea vitoto vya shule kibao unategemea bikra utaikuta wapi

Unavua samaki hadi wachanga alafu kesho unalili samaki wamehadimika kumbe kosa lako ,sikuhizi vitoto vya shule vinatumika na watu wazima vitoto kwa vitoto vinatoana bikra unategemea bikra ya nini miaka hii, zaa wa kwako umtunze ili uipate hiyo bikra

Then acheni kudanganyana hapa kuwa bikra inaendana na uaminifu msidanganyike unaweza ukampata mwanamke bikra ukamuowa na na future akaja kukubadilikia, uaminifu wa mtu upo rohoni tu haupo kwenye uchi wake msidanganyane

Unaweza owa mwanamke aliyetumika na akawa mwaminifu tu,ukitaka bikra wewe mwenyewe jitunze ili uje umpate bikra mwenzio sio unalala vitoto vya shule na kudanganya mabinti za watu alafu baadae unawakimbia , mkikosa wanawake bikra mitaani mnalia lia kumbe mliozitoa ni nyie na mkawakimbia
 
Nikiona tu title ya uzi kuhusu ubikra najua tu mwandishi lazima ni mwamba Jokajeusi.

Kila mwanaume angependa kuoa bikra lakini tatizo ni unadra wake...na unadra huo unasabahishwa na mwanaume huyo huyo anayetaka mke wake awe bikra. A man wants to eat his cake and have it too. Impossible!...labda itungwe sheria kuwa ukimbikiri msichana ni lazima umuoe!
 
Back
Top Bottom