Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,751
2,000
Mkuu somo lako kwa hiki kizazi ni somo gumu sana kuwahi kutokea, watu sikuhizi wanaangaliana tu tayari washatongozana na kinachofuata...........

Mkuu inaonekana unakula raha sana kuendesha gari jipya kabisa peke yako (mkeo),

Somo gumu hufundishwa kwa njia ngumu mkuu na ndio maana wengi wanasema sina staha utadhani wao wallivyotoa bikra walikuwa na staha
 
Nyengo3

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
466
1,000
Mkuu na ndio maana mimi lawama zangu nawalaumu wazazi, mzazi ndiye humuharibu mtoto
Ila mkuu kumbuka zama zimebadilika pia, leo ni tofauti na zamani ambapo wazazi waliishi na watoto wao wote (kama familia).
Leo hii kukuta baba na mama wapo Dar, mtoto wa kwanza anasoma Arusha, wa pili Mwanza na wa tatu Mbeya ni kawaida. Kwa mantiki hii utaona kwamba watoto wa siku hizi, wanatoka kwenye familia mapema mno tofauti na miaka ya nyuma. Na hii jamii ya sasa ustaarabu wa malezi hakuna tena, kukuta Mwalimu anakula mwanafunzi wake wa f2 usishangae.
 
salum palahingwe

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
521
1,000
Nina ushahidi usio na shaka kuhusu jambo hili na hata humu JF kila siku tunasikia malalamiko ya wanawake kurudiana na ma-ex wao au kufumaniwa nao. Hiyo ni kawaida sana, na mara zote mimi siwalaumu wanawake kwa kufanya hivyo kwani hiyo ndio asili. Mtalaka hatongozwi
boss nakurekebisha na ushahidi wako! ukiona mwanamke amaeachana na mwenza! kabla ya kuishi nae au kumuoa rejea kwanza mda waliokuwa wote, kama ni miaka miezi au siku! fuatilia mahusiano yao baada ya kuanzisha mahusiano nae( japo ngumu) ☺️ jiepushe na sababu walizoachana! kisha kuwa mkarimu kwake, ikiwa tofauti, hyo si mwanamke wa kuishi nae
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,751
2,000
Ila mkuu kumbuka zama zimebadilika pia, leo ni tofauti na zamani ambapo wazazi waliishi na watoto wao wote (kama familia).
Leo hii kukuta baba na mama wapo Dar, mtoto wa kwanza anasoma Arusha, wa pili Mwanza na wa tatu Mbeya ni kawaida. Kwa mantiki hii utaona kwamba watoto wa siku hizi, wanatoka kwenye familia mapema mno tofauti na miaka ya nyuma. Na hii jamii ya sasa ustaarabu wa malezi hakuna tena, kukuta Mwalimu anakula mwanafunzi wake wa f2 usishangae.

Zama hubadilika kwa watu wajinga,
Mbona hazibadiliki kwa wahindi au waarabu?

Zama zinabadilika kwa jamii inayopoka nafasi ya mwanaume, na mwanaume akishajidharau lazima haya yatokee
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,751
2,000
boss nakurekebisha na ushahidi wako! ukiona mwanamke amaeachana na mwenza! kabla ya kuishi nae au kumuoa rejea kwanza mda waliokuwa wote, kama ni miaka miezi au siku! fuatilia mahusiano yao baada ya kuanzisha mahusiano nae( japo ngumu) ☺️ jiepushe na sababu walizoachana! kisha kuwa mkarimu kwake, ikiwa tofauti, hyo si mwanamke wa kuishi nae

Mwisho wa mwisho, mtalaka hatongozwi
 
Nyengo3

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
466
1,000
Kwahiyo namna pekee ya kukabiliana na maisha magumu kwa mtoto wa kike ni kutoa uchi wake? Hiyo ndo njia ambayo unaona hawapaswi kulaumiwa wakiwa sio mabikra? Hivyo ndo namna akili yako inataka kumsaidia mtoto wa kike?
Nimejaribu kuhusianisha baina ya ugumu wa maisha(sababu) +mazingira(uhalisia)= utoaji mimba(matokeo).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom