Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,083
2,000
Utatapa tapa hapa mpaka ukome, kama hukufunzwa na mama yako acha dunia ikufunze. Aliyeumbia utolewe bikra ni nani, Haya ndio madhara sasa
Mkuu

Gender yangu ni ME....sasa unaongelea mimi kua na bikra,inaonesha hata hujui unachoandika

Ushachanganyikiwa tayari,usha lose track ya watu unao chat nao

Maajabu haya
 

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
21,468
2,000
Sionagi tabu kuharibu kilichoharibiwa, hiyo ni kawaida kwangu
Kulaani kilicholaaniwa wala sionagi shida.
Kulaani kilicholaaniwa si sawa na kuharibu kilichoharibiwa, sababu kulaani kilicholaaniwa ni jambo bora na linamarejeo na akili inakubali hilo, ila kuharibu kilichoharibiwa ni uharibifu na ni matumizi mabaya ya akili.

Mke wangu wa nne nimepanga kuoa asiye bikra, nasema tena nitaoa ambaye si bikra.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
15,249
2,000
Utatumia lugha zote lakini ukweli umeupata na kama hukuolewa na bikra basi ndivyo hivyo ulivyo
Kwanini niolewe na bikra nazitoa zote bikra za mbele na nyuma, machoni mpaka midomoni. Malimbukeni ndio huhangaishwa na pet issue na kutaka kupangia wengine maisha. Some obsession ni magonjwa ya akili
 

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
29,040
2,000
Naona ni kama una obsession na hizo bikra, well si umeshaoa aliyekuwa bikra! Wacha wanaoning'inia na wasiokiwa bikra waendelee nao.

*Unaweza kuoa bikra akawa mchafu wa mwili na mdomo.
*Unapata bikra then uzeeni akakubadilikia hadi ukashangaa, nk.

Hii obsession uliyonayo sio poa hata, wengine ule usumbufu wa kukuru kakara za kitandani hadi uitoe hiyo bikra wala hatuzitaki.
 
Sep 4, 2017
41
125
Dah kiukweli wee jamaa unaongea point tupu. Yaan mpaka unaanza kunishawishi kumuoa bikra wangu nlie mzalisha na nipo nae kwenye mahusiano na anataka leo kesho nimuoe sema mimi ninadanganyika na hawa watoto warembo wamejazia lakin sio mabikra. Kitu ambacho kina nichelewesha kumuoa nilo mtoa bikra ili nioe hiz pisi kali lakin kama inavyojukikana wengi sio bikra.
 

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,750
2,000
huwa tunashangaa sana Mambo ya watu kwakua tunayajua..Mungu anatustiri...tungejua Yakwako mleta bandiko...nadhani usingeweka bandiko Tena..

Kuleta hizo case study za single mother..haimaanishi wote Ni wabaya..

Wewe kuoa bikwa na ndoa kudumu..haimaanishi wote walio OA bikara ndoa zilidumu..

Haimaanishi wote walio ambao Sio bikra ndoa hazijadumu..

Unajisifu na kujinadi Sana...ungali Bado hai?.. Unajitweza na kujiona upo juu Sana ingali hujafa?

Kama upo HAI.. anything can happen anytime..USIJIPE GUARANTEE YA MAISHAI.....BE CAREFUL with your words sir.

Sumu haionjwi vijana lazima tuwaambie ukweli.

Wewe kama utaona najisifu ni sawa, sio kosa mtu kujisifia wema, kuliko kujisifia ubaya


Anything can happen kwa watu wanaopenda na kufanya anything kama huko kuoa maharage ya mbeya
 

gluckkcom

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
359
1,000
Sio lazima unielewe sasa, mwanafunzi mjinga huelewa somo pale anapotoka ndani ya chumba cha mtihani akiwa kashafeli

Sio lazima unielewe sasa, mwanafunzi mjinga huelewa somo pale anapotoka ndani ya chumba cha mtihani akiwa kashafeli
Lega Lega katika kumtimizia mkeo mahitaji yake muhimu ya ndani alafu usimlizishe on bed

Hapo ndy utakapo kuja kujua kumbe hata Inzi ni mdudu ambaye #akiacha ujinga uweza kutengeneza asali
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,860
2,000
Wakuu habari!

Jambo hili nimelivalia njuga na naona matunda yake yanaanza kuonekana, nafikiri nikiendelea hivi kwa mfululizo wa miaka mitano kwa kiasi kikubwa jamii itarudi kwenye mstari.

Moja ya matokeo chanya katika nyuzi zangu za ubikra ni kuwa wale walioolewa bila ya bikra na wale ambao bado hawajaolewa na hawana bikra wanapiga kelele wakitapa tapa, wengi wamekuja Pm wakiniomba niache. Ujumbe wangu ni huu; Asiyefunzwa na Mama yake hufunzwa na ulimwengu. Mandhali Jokajeusi nipo mada hizi zitaendelea mpaka nitakapoondoka duniani. Hivyo wale wanaaoumia nawapa pole kwa sababu huu ni mwanzo tuu.

Madhara ya Makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra, Kijana usiyeoa soma kwa umakini ukitumia akili zaidi ya hisia zako.

1. MTALAKA HATONGOZWI
Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra kaa ukijua kabisa mtalaka hatongozwi, popote pale duniani. Pia kumbuka awali ni awali hakuna awali mbovu. Pia kumbuka, Mavi ya kale hayanuki. Hivyo mwanamke anapokuwa tayari alishakuwa kwenye mahusiano na wanaume huko nyuma ya kimapenzi kisha wakaachana kwa sababu abc kisha wewe ukampata akakuambia ameachana na ma-ex wake jua kuwa anakudanganya, kuachana labda kama wamekufa lakini kama wapo hai hesabu umeumia ndugu yangu.
Nina ushahidi usio na shaka kuhusu jambo hili na hata humu JF kila siku tunasikia malalamiko ya wanawake kurudiana na ma-ex wao au kufumaniwa nao. Hiyo ni kawaida sana, na mara zote mimi siwalaumu wanawake kwa kufanya hivyo kwani hiyo ndio asili. Mtalaka hatongozwi.

Usipokubali maneno yangu na ukashindwa kujifunza kwa yanayotokea kwa wenzako basi subiri wewe ndio uwe funzo na mfano kama walivyo wabishi wengine.

2. KUBAMBIKIZIWA MIMBA
Wanawake wengi wasio na bikra wamewaingiza wanaume katika magonjwa makuu kwa kuwabambikizia watoto wasio wao. Hata ule utafiti usemao kuwa 60% ya wanaume wanalea watoto wasio wao unalandana(correlation) na idadi ya wanaume waliooa wanawake wasio na bikra.
Kuna uwezekano wa kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba changa ikiwa tuu ulimkuta hana bikra, mifano ipo ya kutosha hata huku mitaani achilia mbali watu maarufu kama vile Muna Love na Casto Dickson Vs Baba patrick, Mama Diamond na Babab Ricardo Vs Mzee Abdul, na wanawake kukubambikizia mtoto hawaoni shida kwa sababu tayari wameshakuona wewe ni maandazi, tayari umejidharau, yaani uache kuoa mtoto mbichi uchukue used alafu wakuheshimu. Hiyo hakuna mwanamke wa hivyo.

Usijedhani ukimuoa mwanamke asiye na bikra na single mother ataona umemuonea huruma kwa kumsitiri, yeye atakachojua kuwa uzuri wake ndio sababu umedata naye, hivyo suala la kuonewa huruma hilo sahau, na ndio maana wao wakifanya matukio yao kwako wala hawatakujali kuwa uliwastiri. Nafikiri mifano mnayo hata huko mitaani.
Hivyo kuoa mwanamke asiye na bikra kuna uwezekano mkubwa wa kubambikiziwa mtoto achilia mbali kuchetiwa ambapo ni costant

3. WATOTO KUWA NA TABIA ZA AJABU AJABU
Ukioa mwanamke asiye na bikra na malaya, sio ajabu watoto wako wakawa na vitabia vya ajabu ajabu yaani mchanganyiko kulingana na idadi ya wanaume waliolala na mke wako. Angalia wanawake wengi ambao ni malaya kisha angalia tabia za watoto waliowazaa. Watoto wamenajisiwa. Mtoto akipimwa DNA ni wakwako lakini tabia zipo mbali sana na wewe na ukoo wenu na ukoo wa mama yake. Hii ni kutokana na kuwa mwanamke anapolala na wanaume tofauti tofauti hujinajisi na kujipa maroho machafu kwani tendo lenyewe ni chafu.
Kama unabisha jaribu sumu kwa kuonja. Waliooa wananielewa zaidi kwani wanayaona hayo kwa macho yao.

4. WATOTO KUUNGANA NA MAMA YAO.
Ukioa mwanamke asiye na bikra ni rahisi sana kwa watoto kumsikiliza Mama kuliko kukusikiliza wewe Baba, au ni rahisi sana kwa watoto wako kumsikiiza Baba mwingine kuliko kukusikiliza wewe. Hii ni kutokana na kuwa tayari wewe sio namba moja, wewe sio kichwa tena bali mkia. Unapoambiwa Baba ni kichwa cha nyumba wanamaanisha Namba moja, yaani Baba ndio mwenye maamuzi, mwanzo, na ndio maana popote pale kichwa ndio hutangulia, sasa kama kwa mkeo hukutangulia kumjua unafikiri utakuwaje kichwa kwake au namba moja kwake. Wakati mwingine wapo wanawake wachache wema wanaojitahidi kuwa wema licha ya kuolewa bila ya bikra lakini bado nature inawavuta kufanya mabaya.

Zamani Baba alikuwa ndio nguzo ya familia kwa sababu nyingi mno, watoto walikuwa wanamsikiliza Baba, hii ni kutokana na kuwa wamama wengi waliolewa wakiwa na bikra. Lakini tangu wanawake waanze kuolewa bila bikra siku hizi Baba sio lolote tena, na ndio maana ongezeko la watoto wasemao nani kama Mama ni kubwa, na sababu nimeshaieleza.
Kama unabisha jaribu sumu uone.
Baba kama unataka heshima sikiliza ninachokuambia, ukijifanya unajua na unaheshimiwa kisa sasa unanguvu subiri miaka 60 huko utakumbuka maneno ya Jokajeusi.

5. KUOA MAMA WA WAFU
Kuoa mwanamke asiye na bikra kunaweza kupelekea kuoa mama wa wafu, unaoa mwanamke aliyetoa mimba nyingi nawe huwezi kulijua hilo na huna uhakika, Lakini ukioa mwanamke bikra unaoa mke unayejua ni msafi na aliyejitunza. Tayari unaoa mwanamke ambaye anakesi ya mauaji na laana ambayo huijui, ni bora ungekuwa unaijua hii itakusaidia kumlilia Mungu amsamehe na awasamehe, jambo moja la kuzingatia ni kuwa kuomba msamaha kwa makosa makubwa hakuombwi kwa kusema tusamehe makosa yetu, hiyo ni sala ya jumla ambayo watu huomba wakiwa kwenye halaiki, Jokajeusi nashauri, mwanamke kama umetoa mimba ni vyema umjulishe mumeo mtarajiwa ili muweke mambo sawa, sio umuingize Mwanaume wa watu kwenye mikosi na mabalaa bila ya yeye kujua.

6. MWANAMKE ASIYE NA BIKRA SIO MKEO BALI MSHIRIKA.
Kuna tofauti kubwa kati ya mke na mshirika wa maisha. Mke ni sehemu yako yaani ni ubavu wako, mshirika sio sehemu yako bali mmeamua kushirikiana katika maisha. Mke hukupenda wewe na familia yenu, naye ni sehemu ya ukoo wenu. Lakini mshirika sio sehemu ya ukoo wenu kwanza huwaza kuwapa faida wazazi wake zaidi. Siku hizi wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra na ndio maana hao washirika wao hupendelea makwao kwani sio mwili mmoja na waume zao. Mwanaume mwenye mke anaouwezo wa kumwambia mke wake kuwa asienda kwenye msiba hata wa mama yake(mama wa mke) na mke wake akamtii, lakini mwanaume aliyeoa mshirika wa maisha hana uwezo wa kumzuia mshirika wake asiende kwenye msiba wa mama yake(mama wa mshirika).
Kwa kifupi mume anakuwa anamamlaka kwa mke wake na sio kwa mshirika. Kumbuka mshirika ni mwanamke aliyeolewa bila ya bikra, na bikra aliiotoa kwa makusudi kabisa.
Mke ukishamuoa hawazi tena nyumbani alipozaliwa mpaka mume mwenyewe umkumbushe kwamba aende kusalimia, lakini mshirika kwa mwaka huenda nyumbani mara mbili mpaka mara tatu.
Hapa hoja kubwa ni kuwa huwezi mtawala mwanamke ambaye sio mkeo, mkeo lazima akusikilize kwa chochote kile Lakini ukiona mwanamke unayeishi naye hakusikilizi jua sababu ni hiyo hapo juu, hukuoa akiwa bikra.

Waliooa wananielewa, sumu aionjwi

7. UMILIKI
Ukioa mwanamke asiye na bikra, cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake mwenyewe. Watu wanasema wanawake ni wabinafsi, mimi nawaambiaga kuwa mwanamke sio mbinafsi mpaka pale atakapoolewa bila ya kuwa na bikra. Wanawake wengi walioolewa bila bikra ni wabinafsi kupitiliza. Hii ni tofauti na mwanamke aliyeolewa na bikra yake, ambaye chake ni cha wote na cha kwako ni chawote. Mkeo(aliyeolewa bikra) anajua kuwa yeye ni mali yako na kila kitu anachomiliki yeye. Mkeo yaani uliyemuoa bikra anapenda umlinde yaani umchunge kwani anajua yeye ni malkia, yeye ni wathamani, lakini mwanamke ambaye hajaolewa akiwa na bikra hapendi umchunge, umlinde wala kumfuatilia, wana msemo wao wanasema mwanamke hachungwi, msemo huo sio wa mke bali mshirika. Hata humu JF wapo na wanajijua.
Mkeo uliyemuoa bikra hata watoto atakuambia watoto wako wanasumbua, au wanashida abc, au hata ukiwaadhibu atakuambia utawaua wanao Mume wangu. Lakini ambaye hajaolewa bikra ni kawaida kusikia wakisema muache mwanangu.

8. SIRI YA MTOTO
Mwanaume ukishaoa mwanamke asiye na bikra basi jua siri ya mtoto niwa nani anaijua Huyo mshirika wako. Ndio maana siku hizi mpaka sheria zinatungwa kuwa Baba ni mlezi sio mzazi. Kwani wanawake wengi wameolewa wakiwa bikra.

Siku hizi ndoa ni ndoano kwa sababu wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra. Mpaka wengine wanaogopa na kuiona ndoa haina maana.
Lakini ndoa ni sehemu tamu,yenye raha ikiwa utaoa mwanamke mwenye bikra. Vijana ndoa ni tamu kama utapata mke wako na sio mshirika wako.

Nitaendelea kuwafunza vijana hivi hivi mpaka wenye akili watakaponielewa.

Jokajeusi
Harakati zinaendelea 🤣🤣🤣
 

Nyengo3

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
466
1,000
Hakuna ubaya hapo, sheria zipo wazi, umri huo watuhumiwa wangepaswa kufungwa miaka 30 lakini vitoto vyenyewe vinapenda na hata vikipewa mimba vinamficha mhalifu kwa nini usielewa hoja yangu kwa mantiki hiyo?

Bikra ni kigezo cha kwanza kwa mwanaume anayejielewa.

Ukienda dukani kuchukua bidhaa lazima uhakiki kama ni mpya au laa, Labda waliozoea mitumba
"Vitoto vyenyewe vinapenda na hata vikipewa mimba vinamficha mhalifu kwa nini usielewa hoja yangu kwa mantiki hiyo?"

Hapo ndipo msingi wa hoja yangu ulipo, kwamba hayo mambo hutokea whether;
1-Wanaume vs wanawake wote walikuwa WATOTO kwa wakati huo.
2-Mwanaume alikuwa mtu mzima ila msichana alikuwa MTOTO.
NB: hapa inategemea wewe binafsi mtoto unamchukuliaje katika nyanja mbali², kama vile; uelewa na ung'amuzi wa mambo, uwezo wa kufanya maamuzi n.k
 

Nzi Chuma

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
367
1,000
mkuu Kama aliekubikir ametangulia mbele ya haki hii haimanishi kua wewe ni mjane labda Kama mlioana hapo sawa.

Mleta mada anachotaka ni bikra na sio sababu za wewe kutokua nayo..

Pole kwa kumpoteza aliekutoa bikra yako mkuu!
Hatari sana. Mtoa mada anafanya watu wasio na bikra wajitetee sana
 

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,750
2,000
"Vitoto vyenyewe vinapenda na hata vikipewa mimba vinamficha mhalifu kwa nini usielewa hoja yangu kwa mantiki hiyo?"

Hapo ndipo msingi wa hoja yangu ulipo, kwamba hayo mambo hutokea whether;
1-Wanaume vs wanawake wote walikuwa WATOTO kwa wakati huo.
2-Mwanaume alikuwa mtu mzima ila msichana alikuwa MTOTO.
NB: hapa inategemea wewe binafsi mtoto unamchukuliaje katika nyanja mbali², kama vile; uelewa na ung'amuzi wa mambo, uwezo wa kufanya maamuzi n.k


Mkuu na ndio maana mimi lawama zangu nawalaumu wazazi, mzazi ndiye humuharibu mtoto
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
Hebu tuachane na mkeo ....jisifie na Wewe jinsi ulivyo mume Bora kwa huyo mkeo..

Maadamu unajifu tiririka..sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom