Sikuwepo lakini yeye mthibitishaji alikuwepo

Kama mimi nitakavyo waambia watoto wangu wasioe malaya wasio na bikra kwani nimeoa mama yao akiwa bikra kabisa.

Ushauri huu kila mara nawashauri na vijana wengine hata mshikaji wako akija nitamuambia asikuoe wewe kama hakukuta yaliyomo hayakuwamo, hakukuta bikra

Kwahiyo akikuambia tumboni mwako walikuwekea dhahabu kilo 1 siku unazaliwa utakubaliana naye?

Au utafanyaje ilikuthibitishwa ukweli?
 
Wewe ndio huna akili, na pengine bikra zote zimeondoka hata ya ubongo.

Ushaambiwa mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana kimwili na mwanaume au hajafanya ngono hata sex machine. Unataka prove ipi nyingine?

Hujui maana ya bikra?

Umeelewa swali?

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike
 
Kwahiyo akikuambia tumboni mwako walikuwekea dhahabu kilo 1 siku unazaliwa utakubaliana naye?

Au utafanyaje ilikuthibitishwa ukweli?

Kwa nini nithibitishe jambo lilothibitshwa?

Wewe umechanganyikiwaa
 
mwanamke huchepuka kwa sababu zifuatazo:

1.yupo nawe kwenye mahusiano/ndoa bt hakupendi
2.humridhishi na suluhu ya jambo hili imekosekana kwako
3.tamaa ya pesa/vitu

nb: hizi sababu hazijalishi bikra au ametumika.

Many thanks
 
Umeelewa swali?

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike

Wanajamvi wanaona athari za kutolewa bikra mapema kupitia wewe, nashukuru sana kwani wewe utakuwa case study humu.

Wewe unadhani kila jambo ni la kufanyia utafiti? Kama ndio akili yako basi umevurugwa.

Na hii ndio athari ya kutolewaa bikra mapema
 
Wewe mjinga be specific kwa ulichoulizwa

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike
 
Wewe mjinga be specific kwa ulichoulizwa

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike

:D:D:D

Sio kila jambo linahitaji research wewe, mbona unaakili za kuku

Hii mada imewapiga wengi lakini wewe ndio umeamua uwe case study humu, na watu wanathibitisha nikisemacho
 
Mr bikra(unapenda sana bikra) unatongoza wake za watu ila hulali nao sio? Na katika 10, 9 wanakubali? Hongera sana.

Siwezi oa mwanamke asiye na bikra hata niachane na huyu niliyenaye
Siwezi lala na mke wa mtu hata iweje
 
Back
Top Bottom