breezyman

Member
Dec 8, 2017
61
125
Dah hii mada inanisisimuaga Sana..Juzi tu nilienda na duu wangu kila nikijaribu kuforce Yani hata nusu ya kichwa hakipiti anajibana Sanaa sas sielewi nakosea style nayomueka(kifo ch mende) au ni vipi nishajaribu Karibu Mara 5 wapi nampenda Sana ni wamaisha ila napata ugum Sana.. inafkia hatua nawaza kumuekea pombe kwenye juice au niweke kidonge cha kumlegeza nashindwa make naona Kama ukatili..sijui nifanyaje yani
Acha uzembe na mawazo ya kijinga
 

Qsavey

New Member
May 29, 2020
3
45
Bro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?

Kama unamjua Peter Crouch lakini maana yawezekana hata mpira haufuatilii.

Sasa kama mkeo ni mrefu kuliko Peter Crouch unataka kusema wewe umemzidi urefu au wewe ni andunje?

Kwa huo urefu ulioandika. Madai yako yote naona yana mashaka.
Peter Crouch ana urefu wa mita 2.01 (6ft 7inch), sio mchezo!
 

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,662
2,000
Wakuu Mpo!

Mwaka 2013 mwezi march tarehe kapuni ilikuwa ndio siku yangu kuu ya harusi yangu na Mke wangu kipenzi, niliyesota naye miaka mitano kwenye uchumba.

Ilikuwa sikukuu na yenye furaha kwa sababu; Nilioa mwanamke mzuri sana. Yaani wakiambiwa wanaume watoke waliooa wanawake wazuri basi nami nami nitakuwa mmoja wao. Lakini jambo la pili na kubwa ni kuwa Nilitimiza ndoto na msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye bikra yake. Rafiki zangu chuoni nilikuwa nawaambia mimi kamwe siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra wakawa wanasema nisiseme hivyo kwani siwezi kujua Mungu kapanga nini, nikawa nawajibu kuwa Mungu sio anayeoa bali mimi ndiye ninayeoa. Wakasema wataona, na sasa siku ya wao kuona ilikuwa imefika. Hakika nilijivunia sana. Sababu ya tatu, mke wangu alikuwa ni ndoto ya kila mwanaume sio kwa uzuri wake tuu bali akili yake iliyochagizwa na elimu yake ya MD.

Muda wa Bwana harusi kutoa neno walau la shukrani ulifika, na hapa ndipo watu wakajua Jokajeusi ni mwendawazimu, niliongea maneno mazito sana lakini ndio ulikuwa ukweli wenyewe hata kama haukuwa unanihusu lakini ulihusu watu wanaume wenye akili timamu pekee. Nilisema;

" Mama(mkwe) kama ni kuzaa wengi wamezaa watoto wazuri kama mwanao, kama ni kusomesha wengi wamesomesha kama ulivyomsomesha mwanao. Hivyo kwangu mambo hayo ni sifa ndogo sana ambazo siwezi kuzitaja hapa kama sababu ya kukushukuru Mama yangu. Jambo moja kuu ninalokusifu Mama(mkwe) ni kumtunza binti huyu(hapa nilimuangalia mke wangu aliyekuwa kaangalia chini kwa aibu kwani alijua naenda kusema nini), sio kila mzazi amewatunza binti zake kama ulivyo wewe. Wewe ni Mama wa mfano na kuigwa. Mama(mkwe) kama nisingekuta bikra kwa binti yako ni hakika siku ya leo isingekuwepo kama Mungu aishivyo. Wala nisingekuja uchagani kutoa mahari na kujihangaisha. Lakini natangaza rasmi ndani ya Ukumbi huu mbele ya wakwe zangu, mbele za wazazi wangu, ndugu, jamaa na rafiki. Binti huyu nilimkuta akiwa msafi, akiwa kajitunza, anastahili kuvaa vazi hili la Bibi harusi, vazi jeupe kama alivyo yeye"

" Na kwa maana hiyo, binti huyu ni mke wangu kweli dunia ikishuhudia na mbingu zikitazama. Sio mke wa jamii kwani nilimkuta akiwa bikra. Nitamtunza kwa gharama kama alivyotunzwa na kuitunza bikra yake kwa ajili yangu, pengine maneno haya yakawa ya aibu miongoni mwenu lakini nimeona niyaseme tuu"
Nilimeza mate, wakati huo ukumbi mzima upo kimya, wengine wakiona nimeongea maneno yenye kuumiza wengine hasa wale ambao hawajaoa wakiniona kama mfano wao.
Nikamaliza kwa kusema;

" Mimi kama mwanaume, ambaye kwa sasa ni mume wa binti huyu(nikataja jina lake) naomba nieleze kuwa binti huyu nitaachana naye kwa sababu kuu tatu; Mosi, uchawi na ushirikina kama nitamkuta nao, pili, Kama atajifunza umalaya, na mwisho kabisa, kifo kikitutenganisha. Hivyo Mama mke siku utakayomuona binti yako karudi nyumbani usijiulize sababu ya jambo hilo, jua sababu ni moja kati ya hizo. Sina haja ya kukaa vikao yatakapofanyika makosa hayo, na ninyi kama mashuhuda katika sherehe hii maneno haya mmeyasikia kwa masikio yenu na kwa macho yenu mliniona nikisema haya. Niwashukuru wote kwa kushirikiana nami mpaka kufanikisha harusi hii. Ahsanteni sana"

Hayo ndiyo maneno ambayo niliyasema, ingawaje baadaye kama siku kumi hivi Wazazi wangu waliniambia kuwa sikuwa na sababu ya kusema mambo yale. Nikawajibu, kikao changu cha ndoa cha kwanza ndio ile harusi yangu na hicho hicho ndio kikao cha mwisho. Sitakaa kikao chochote kwa ajili ya ndoa yangu na ndio maana nikayasema yote palepale.
Wazazi wangu hawakuwa na chakusema kwani wananijua jinsi nilivyo na ndivyo walivyo nilea hivyo hivyo.

Jokajeusi
Kulewa mapenz kubaya sana. Ungefunga mdomo kupunguza aibu. Wachapaji usikute walikuwepo. Byee
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
Nilijipa ban...ila nimerudi..

Mkuu..Mimi nadhani ungezinadi hizi sifa za mkeo huko mTaani kwenu wanapomjua..wakuone KWELI wewe kidume na UNAJUA KUCHAGUA..

Kwamba..Ana trako kilo 100...(Obesity)
Ana chuchu sasita....(Ok)
Ni doctor ( Tena hua Ana night shift)
Anarangi ya majiyakunde...(Sawa)

Alafu...BIKRA YA MKEO sisi wa JF..inatusaidia Nini?

Yaaani kwa mkeo alivyo mzuri..Mimi nadhani uanze kuhadithia sifa zake..Huko mtaani...Tena uzinadi haswa..Hadi kipofu apate picha.
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
Kulewa mapenz kubaya sana. Ungefunga mdomo kupunguza aibu. Wachapaji usikute walikuwepo. Byee
Huyu ajui..Kuna Wanaume wanajua kutongoza na kusifia zaidi yake...Sijui Huku kujiamini KUPITILIZA anakutoa wapi..

Papuchi yangu...natembea nayo...UTAISEMEA VIPI HADHARANI.
Hapo BIKRA kashaitoa kabla ya harusi...SASA ANAJUAJE kwamba hakuna aliepita...

Bwegeeeeeer
 

Diba

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
1,441
2,000
Kwa karne hii, simshauri yoyote kuoa kabla hajaangalia yaliyomo yamo.

Nilikagua kabla sijaingia ndoani ili kuepusha usumbufu na kumdhalilisha binti wa watu. Maana kama nisingemkuta nayo ndoa ingevunjika usiku wake na ingekuwa ni aibu kubwa kwani hakuna anayeingia katika mkondo wangu akanichezea alafu akabaki safe
Sasa kwanini ulisema anastahili vazi jeupe ikiwa tayari bikra ulishamtoa,unajua maana ya shela jeupe
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
Furaha yako...Sio lazima iwe ya wengine
Screenshot_20210114-160005_1610730726758.jpg
 

Diba

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
1,441
2,000
Ni kweli Mke mwema anatoka kwa Mungu, lakini Mungu hawezi kukupa mke asiye na bikra huyo mungu labda wa singeli au vigoma.

Na bado utajuta zaidi ya hapo :D :D :D

Mimi hata ningekuwa mpumbavu vipi siwezi oa mwanamke asiye na bikra, sasa shangaa wewe unayejiona mwerevu unachukua vitu visivyoeleweka
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.
 

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
3,018
2,000
Basi ni vema
Kuna sehemu nliwahi kusoma
Nkakuta panasema hiviii......hakuna kiapo kizito kama kiapo cha damu..

Usimuache mkeo
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
huwa tunashangaa sana Mambo ya watu kwakua tunayajua..Mungu anatustiri...tungejua Yakwako mleta bandiko...nadhani usingeweka bandiko Tena..

Kuleta hizo case study za single mother..haimaanishi wote Ni wabaya..

Wewe kuoa bikwa na ndoa kudumu..haimaanishi wote walio OA bikara ndoa zilidumu..

Haimaanishi wote walio ambao Sio bikra ndoa hazijadumu..

Unajisifu na kujinadi Sana...ungali Bado hai?.. Unajitweza na kujiona upo juu Sana ingali hujafa?

Kama upo HAI.. anything can happen anytime..USIJIPE GUARANTEE YA MAISHAI.....BE CAREFUL with your words sir.
 

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,751
2,000
Kesho mapema nipo sinza kwa remmy

Fika karibu na
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.

Daudi alikuwa mzinzi, hakuwa na mke bali wake
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,832
2,000
Kwaiyo hao wake za watu uliotongoza wakakubali...nikwasababu hawakuwa na bikra wakati WAKUOLEWA.

Wewe wako UNAUHAKIKA gani akitongozwa anakataa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom