Wakuu kwema!

Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja.
Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake za watu sio wasumbufu ukishaingia naye kwenye mahusiano, ingawaje sijawahi kulala na mke wa mtu kutokana na miiko yangu binafsi.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa ya Mke wako/wake zetu kuchepuka katika zama hizi ni kwa sababu waliolewa wakiwa hawana bikra. Tayari walishaingia kwenye umalaya.

Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa hana bikra ambaye hatachepuka, ni lazima achepuke tuu.
Lakini ukioa mwanamke mwenye bikra uwezekano wa kutochepuka ni mkubwa zaidi labda usababishe wewe mwenyewe ndio atachepuka.

Lakini hawa wasio na bikra ni costant, umhudumie, umridhishe usimridhishe, uwe na pesa usiwe na pesa, uwe HB au usiwe HB ni lazima achepuke, Yaani huna namna ya kuzuia hilo.

Mwanamke asiye na bikra haoni hatia moyoni mwake pindi anapochepuka, lakini mwanamke aliyeolewa bikra kabla hajachepuka huwa na uoga mwingi mno kwani ndio anajifunza. Kama ilivyo jambo lolote ukilianza huwaa gumu ndivyo kwa mwanamke mwenye aliyeolewa akiwa bikra huona ugumu sana kuchepuka.

Lakini hawa maharage ya Mbeya atachepuka na wala haoni shida.

Kijana, kwa usalama wa ndoa yako, Usithubutu kuoa mwanamke asiye na bikra, utanishukuru baadaye.
Kwa sisi tuliooa tupambane na hali zetu hasa waliooa hao maharage ya mbeya.

Jokajeusi
Ukweli mchungu...

Subiri mapovu kutoka kwa waliooa wanawake sio bikira.
 
Umechanganyikiwa Mkuu,
Mada inahusu wake za watu sio waume za watu, elimu yako hata ya darasa la saba haijakusaidia kuelewa mada inahusu nini?
Basi utakuwa hujaielewa mada. I am sorry for u. Halafu wewe uliyefika Class 7 usidhani wote.
 
mchunguze VIZURI huyo mkeo
usije ukajinyonga.

Mimi siwezi ishi na mtu bila kumchunguza, soma nyuzi zangu za nyuma 2014.

Watu wanasema mwanamke hachunguzwi lakini sio kwangu, mimi huwezi kuwa hata rafiki yangu bila kukuchunguza, yaani kila siku lazima nihakikishe nakuchunguza.

Siwezi ishi na mtu nisiyejua anafikiria nini na anafanya nini, labda niwe maiti
 
Back
Top Bottom