Interesting. Kama hutojali, unaweza kunifahamisha kama dini au dhehebu lako vina ushawishi katika hizi kanuni zako nzito za kiimani?

Vipi kuhusu suala la hisia za mapenzi? Nijuavyo, hizi hisia ndio zenye msukumo mkubwa sana katika kujenga na kudumisha mahusiano.

Binadamu ili awe kamili lazima aweze kuzuia hisia zake.
Ndio maana kuna wakati imani zinawaambia watu wafunge, wazuie hisia za njaa hata kama wananjaa, hii inaimarisha ustahiilivu na kuweza kutawala mwili wako.

Huwezi ukasema unahisia za kupenda uchafu na kushindwa kuzizuia alafu ukawa timamu.

Mimi hisia zangu nimeshaziwekea mipaka, haziwezi kupenda mwanamke aiye na bikra.
Kama vile mtu anavyoweza kujizuia kutokula mavi au kitu chochote kichafu.

Kuhusu dhehebu na dini achana nazo, maana mimi nafuata Torati zaidi
 
Ni kweli mkuu vilio ni vingi humu kila mtu anajua hilo, Sasa ili kuepuka vilio ndio inabidi tununua vyuma vipya vinasoma 00km ? ? Kama ni hivyo lakini bado sio guarantee ya kutokulia, We unasemaje ?

Na huo ndio msimamo, ili ukikosea ujilaumu wewe, lakini sio unachukua makopo alafu bado uhenyeke
 
Wakiwemo dada, mama, shangazi, bibi, na ndugu zako wote wa like.
Ni Malaya na vyombo vya starehe.
Msieeeeew zako.

Wakiwepo ndio,

Malaya ni malaya hata akiwa Mama au wewe mama mkwe.

Umama wako haukuondolei umalaya kama unaufanya.

Unafikiri ninaogopa ukweli hata kama unanihusu au kuwahusu watu wangu wa karibu. Malaya ni malaya bila kujali ni nani.

Siwezi kukuoa na upuuzi wako, na wala sionagi aibu katika mambo haya.

Nakuombeaa usikutane na watu wa dizaini yangu kwa maana hawatamuonea aibu hata huyo Mama yako akifanya upuuzi ati kisa ni Mama Mkwe.

Unataka heshima, jiheshimu, sio uwe malaya alafu utake watu wote wakuheshimu, watakuheshimu hao hao wapuuzi wenzako
 
Binadamu ili awe kamili lazima aweze kuzuia hisia zake.
Ndio maana kuna wakati imani zinawaambia watu wafunge, wazuie hisia za njaa hata kama wananjaa, hii inaimarisha ustahiilivu na kuweza kutawala mwili wako.

Huwezi ukasema unahisia za kupenda uchafu na kushindwa kuzizuia alafu ukawa timamu.

Mimi hisia zangu nimeshaziwekea mipaka, haziwezi kupenda mwanamke aiye na bikra.
Kama vile mtu anavyoweza kujizuia kutokula mavi au kitu chochote kichafu.

Kuhusu dhehebu na dini achana nazo, maana mimi nafuata Torati zaidi
Ndilo jibu muhimu nililokuwa nalitarajia. Shukran. Tatizo sasa sitarajii, kwa msimamo huu, utamani kuharibu "vilivyoharibiwa" tayari. Itakuwa ni kutaka kushika "uchafu" ilhali tayari umekwishanawa na maji safi.
 
Wakuu kwema!

Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja.
Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake za watu sio wasumbufu ukishaingia naye kwenye mahusiano, ingawaje sijawahi kulala na mke wa mtu kutokana na miiko yangu binafsi.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa ya Mke wako/wake zetu kuchepuka katika zama hizi ni kwa sababu waliolewa wakiwa hawana bikra. Tayari walishaingia kwenye umalaya.

Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa hana bikra ambaye hatachepuka, ni lazima achepuke tuu.
Lakini ukioa mwanamke mwenye bikra uwezekano wa kutochepuka ni mkubwa zaidi labda usababishe wewe mwenyewe ndio atachepuka.

Lakini hawa wasio na bikra ni costant, umhudumie, umridhishe usimridhishe, uwe na pesa usiwe na pesa, uwe HB au usiwe HB ni lazima achepuke, Yaani huna namna ya kuzuia hilo.

Mwanamke asiye na bikra haoni hatia moyoni mwake pindi anapochepuka, lakini mwanamke aliyeolewa bikra kabla hajachepuka huwa na uoga mwingi mno kwani ndio anajifunza. Kama ilivyo jambo lolote ukilianza huwaa gumu ndivyo kwa mwanamke mwenye aliyeolewa akiwa bikra huona ugumu sana kuchepuka.

Lakini hawa maharage ya Mbeya atachepuka na wala haoni shida.

Kijana, kwa usalama wa ndoa yako, Usithubutu kuoa mwanamke asiye na bikra, utanishukuru baadaye.
Kwa sisi tuliooa tupambane na hali zetu hasa waliooa hao maharage ya mbeya.

Kidokezo;

Mambo ya walawi 21
13Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”

Jokajeusi
 
Back
Top Bottom