That's the super author himself. James Hadley Chase.
aiseeeWakosaji (wahalifu) huandamwa na hofu. Mhalifu yeyote ukimtishia unasoma "al badr" anaanzisha fujo, tumaneno maneno, manung'uniko, fadhaa, hamaki, maluweluwe nk.
Basi, ukiona mtu anakuwa na vijisifa hivyo vinavyojitokeza aidha kwa mfululizo au inachipuka moja baada ya nyingine, muepuke. Huwa hawakawii kufanya uharibifu zaidi au hata kuzidhuru nafsi zao. Namalizia kwa kucheka... Hahahaa just hahahaa!Utani mwingine ni kama kweli vile.