Maana ya Mdomo wa juu kucheza kwa anaejua tatzo hili

Una stress!? Saa nyingine hii ni dalili ya mbali ya stroke!
 
Kitaalamu wanaita Lip Twitching, pale lip yako inapotetema au kutingishika bila jitihada yako, huwa muda mwengine inakera na kusumbua. Muda mwengine ni ishara ya kuonyesha kuwa kuna tatizo na kuhitaji matibabu hii hutokana na muscle spasms too much coffee husababisha hii kitu au brain disorder ambayo inapelekea sehemu ya mwili wako kuchezacheza bila kujizuia.
Naongezea hapo,kuna baadhi ya dawa pia kama unatumia zibasababisha hiyo hali,pia huwa ni ishara ya baadhi ya magonjwa kwenye mwili wako...
 
Jaman mm viganja vya mkono na mguu kuna saa vinachezacheza au kutikisika mpak imekuwa kero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom