incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,225
- 3,507
Wanajukwaa leo tangu asubuhi mdomo wangu wa juu unacheza tatzo ni nini? Au kiashiria chake ni nini?
Mkuu usiogope bhna, ni kunakuwa na abnormal communication katika mwiliWanajukwaa leo tangu asubuhi mdomo wangu wa juu unacheza tatzo ni nini? Au kiashiria chake ni nini?
ni malaria au hunywi maji ya kutosha
Hah Hah ! Mkuu hapo unazidisha maswali kwa muuliza swali . Je ni dalilibza mild stroke!Expansion joint inakaribia kutokea pole sana mkuu
Naongezea hapo,kuna baadhi ya dawa pia kama unatumia zibasababisha hiyo hali,pia huwa ni ishara ya baadhi ya magonjwa kwenye mwili wako...Kitaalamu wanaita Lip Twitching, pale lip yako inapotetema au kutingishika bila jitihada yako, huwa muda mwengine inakera na kusumbua. Muda mwengine ni ishara ya kuonyesha kuwa kuna tatizo na kuhitaji matibabu hii hutokana na muscle spasms too much coffee husababisha hii kitu au brain disorder ambayo inapelekea sehemu ya mwili wako kuchezacheza bila kujizuia.
Hhahahaa mkuu kwa usawa huu wa ancle mmmhNi dalili kuwa utaokota hela leo
Hii inaleta sense kidogo mkuu maana wiki hili nimeuziwa kitu fulan fake kwa hela kubwa had nimefulia lakin nimekuta kaz niliotegemea kufanya haiwezi kufanyikaUna stress!? Saa nyingine hii ni dalili ya mbali ya stroke!
Basi itakua hiyo, usiyawaze hayo too much!Hii inaleta sense kidogo mkuu maana wiki hili nimeuziwa kitu fulan fake kwa hela kubwa had nimefulia lakin nimekuta kaz niliotegemea kufanya haiwezi kufanyika
Kuna kitu kizur utakula,kuongea nkWanajukwaa leo tangu asubuhi mdomo wangu wa juu unacheza tatzo ni nini? Au kiashiria chake ni nini?