Maana ya majina

Ndg zngu napenda kujua je nì jinsi gani? naweza kujua maana ya majina

Inategemea ni jina gani (la asili au kizungu). haya ya kiswahili muulize bibi au babu. lakini haya mengine, usiumize kichwa ka-google mkuu..
 
kwa mfano Bujibuji ni jina lilitokea maeneo ya kongo huko maana yake mlo special kabisa ambao ni uji na samaki mchemsho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom