Maana ya kupiga kura

Kyawanjubu

JF-Expert Member
May 13, 2017
2,436
2,156
Kinachoendelea bungeni kwa kweli ni aibu eti wabunge wa CCM wanataka wabunge wote wapige kura ya ndio na Ndugai anasapoti nani kawaroga wabunge wa CCM
 
ha ha ha! haya mambo hayataki hasira... lkn nachotaka kuwaambia hata kama mtu alisema hapana kwenye jimbo lake lzm apelekewe hela maana bajeti ni kwa nchi nzima sio mtu mmoja akisema hapana basi maelfu ya watu wadhurike.. hayo mengine hayanihusu over.
 
Back
Top Bottom