Maana ya KUB

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
911
861
Wengine hatupendwi pitwa na vitu hivihivi great thinkers naombwa nisaidiwe hiki kitu kuna gari ya serikali (maana ina bendera ya taifa mbele) imenipita hapa plate namba yake imeandikwa KUB abbreviation hiyo inasimama badala ya nini wakuu?
 
Back
Top Bottom