Maana ya dhana ya kuongeza wigo wa kodi (Broadening Tax Base) na faida zake kwa Serikali

Ndugu zangu,

Leo nimeona umuhimu wa kutoa elimu ya nini maana ya dhana "kutanua wigo wa Kodi" (broadening tax base).Nini maana yake?inajumuisha mambo gani?haijumuishi mambo gani?Faida zake kwa serikali,ikumbukwe "kutanua wigo wa kodi" ina maana zaidi ikitafsiriwa kichumi na sio kisiasa:

Nini maana ya kutanua "wigo wa kukusanya kodi" (broadening tax base)?Tafsiri yake kiuchumumi ni kuhakikisha kila chanzo cha kiuchumi katika nchi kinatozwa Kodi stahiki kwa namna ambayo haipendelei sekta,mtu nk.

Je,kutanua wigo wa kodi kunajumuisha mambo gani?kunajumuisha kutokadiria Kodi kwa upendeleo ili kuruhusu ushindani wa haki kwa waagiza mizigo na Wafanyabiashara,kutoegemea bidhaa au sekta moja katika kutoza kodi, mtu au bishara ilipe kodi kutokana na ukubwa wa mapato yake nk.

Je,kutanua "wigo wa kodi" hakujumuishi mambo gani?dhana hii haijumuishi yafuatayo; misamaha ya kodi,ubaguzi na upendeleo nk.

Kutanua wigo wa kodi kuna manufaa yafuatayo kwa serikali; usawa katika ulipaji wa kodi, mapato ya uhakika na makubwa nk.

Mambo muhimu ya kuzingatia kila tunapojadili dhana ya "kupanua wigo wa kodi" ni kuwa kodi yoyote mpya inayotambulishwa kwenye nchi inalipwa na mtu/biashara na kutoka kwenye chanzo cha kiuchumi katika nchi. hivyo basi ili kupendekeza aina mpya ya kodi lazima ujue mlipaji ni Mwananchi/biashara na chanzo chake ni shughuli ya kiuchumi inayokubalika (halali).

Ili serikali yetu ifanikiwe katika zoezi hila la kutanua wigo wa walipa kodi ni lazima kufanya na kuhimiza yafuatayo;

Kwanza,Kutambua wananchi wote nchini na kuhakikisha sekta zote zinatambulika (rasmi na isiyo rasmi).Kuhakikisha kila Mtanzania kaorodheshwa na kupewa kitambulisho cha uraia kutoka NIDA.

Pili,kila Mwananchi wa Tanzania kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi ili ushuru na Kodi mbalimbali za serikali (direct tax) zinazomhusu ziwekwe kwenye akaunti yake (TIN) hii itaongeza motisha kwani atapata rekodi kamili ya mchango wake kwa Taifa na atakuwa na sababu ya kuhoji na kudai huduma bora zaidi kutoka serikalini.Na kwa siku za mbele kila Mwananchi aweze kujikadiria kodi yake kila mwaka.

Tatu,matumizi ya TEHAMA katika ukusanyaji wa taarifa na malipo ya kodi na tozo mbalimbali za serikali.

Nne,udhibiti wa mianya ya kodi, bado biashara nyingi hazilipi kodi stahiki. Na hapa panahitaji ukali kwani hili kundi "linamiliki" wanasiasa na media kuwatetea na kueneza propaganda.Na hapa mianya ipo kwenye kodi zote yaani za ndani na forodha.

Tano,RUSHWA.

Zaidi ya yote inahitajika uzalendo wa hali ya juu pale ambapo chanzo kipya cha mapato kinapendekezwa kijadiliwe kwa hoja kwa manufaa ya Taifa pasipo kuleta siasa za ulaghai.

Nawasilisha.
Kwanza nikupongeze mleta mada kwa kuanzisha mjadala huu nami niongezee zangu kidogo

Wananchi wawe na tamaduni ya kulipa kodi na kwa hiari kwani kwa kufanya hivi itachangia baadhi ya kodi kupungua viwango.Tatizo lililopo siyo kila anayestahili kodi analipa wengi tunakasumba ya kukwepa lipa kodi.

Pili kusuhu tehama hapa ndipo hasa pakuangalia vizuri maana kama garama za kutumia mitandao zitapungua zitachochea pia uhiari wa kulipa kodi kwani kwa sasa TRA wao wameshaweka mitandao.
Tukiendelea kwenye tahema Mkongo wa Taifa upewe kipaumbele ili kuondoa tatizo la kutopatikana kwa mitandao au mitandao kuwa na spidi ndogo.

Tatu Idara ya Elimu ya Kodi izidi pewa ushirikiano wa kutosha ili wadau tuzidi pata elimu ya kutosha.

Wamachinga washirikishwe kwenye kuchangia kodi kwa kuwekewa daraja maalum la kodi kama ilivyo kwa wengine na pia watafutiwe maeneo maalum ya kufanya biashara.
 
Tuna nguvu kazi kubwa sana iko idle na iliyi busy inatafuta hela ya kula matokeo yake wachache ndio tunakimbizana kulipa kodi..

narudia tena - put more people in production then wachanje kodi kidogo rafiki...

Uzarishaji Tanzania bado mdogo sana, tunahitaji kuumiza akili uzarishaji uwe mkubwa na wengi wawe wazarishaji...

Watanzania wenye mitaji wapewe elimu na kuacha uchuuzi waingie kwenye production kwa kuanzisha viwanda na kuacha kujenga mabar, maguest, mahotel, pubs na maduka ya uchuuzi..watu waelimishwe na kufanya uzarishaji kukidhi mahitaji na soko la ndani..

Mchina anatengeza simple machines nyingi saaana kwa ajili ya kuzarishaji bidhaa ndogo ndogo, tumtumie kwa kuwezesha watu kwa kuwapa skills na mitaji ya kuanzisha viwanda vidogo vidogo na wenye mitaji wazawa wapewe unafuu kwenye kuingiza mitambo na raw materials ili soko letu liwe na low prices watu africa waje kutrade huku....

Tunatumia miguvu saaaana wakati the calculation is very simple...
samurai, hongera kwa hoja yako. Wengine wote pamoja na mtoa mada wamepiga tantalila, Ila wewe ndiyo umepiga point. Put a lot of people in production and collect minimum/ average taxes from them
 
Ndugu zangu,

Leo nimeona umuhimu wa kutoa elimu ya nini maana ya dhana "kutanua wigo wa Kodi" (broadening tax base).Nini maana yake?inajumuisha mambo gani?haijumuishi mambo gani?Faida zake kwa serikali,ikumbukwe "kutanua wigo wa kodi" ina maana zaidi ikitafsiriwa kichumi na sio kisiasa:

Nini maana ya kutanua "wigo wa kukusanya kodi" (broadening tax base)?Tafsiri yake kiuchumumi ni kuhakikisha kila chanzo cha kiuchumi katika nchi kinatozwa Kodi stahiki kwa namna ambayo haipendelei sekta,mtu nk.

Je,kutanua wigo wa kodi kunajumuisha mambo gani?kunajumuisha kutokadiria Kodi kwa upendeleo ili kuruhusu ushindani wa haki kwa waagiza mizigo na Wafanyabiashara,kutoegemea bidhaa au sekta moja katika kutoza kodi, mtu au bishara ilipe kodi kutokana na ukubwa wa mapato yake nk.

Je,kutanua "wigo wa kodi" hakujumuishi mambo gani?dhana hii haijumuishi yafuatayo; misamaha ya kodi,ubaguzi na upendeleo nk.

Kutanua wigo wa kodi kuna manufaa yafuatayo kwa serikali; usawa katika ulipaji wa kodi, mapato ya uhakika na makubwa nk.

Mambo muhimu ya kuzingatia kila tunapojadili dhana ya "kupanua wigo wa kodi" ni kuwa kodi yoyote mpya inayotambulishwa kwenye nchi inalipwa na mtu/biashara na kutoka kwenye chanzo cha kiuchumi katika nchi. hivyo basi ili kupendekeza aina mpya ya kodi lazima ujue mlipaji ni Mwananchi/biashara na chanzo chake ni shughuli ya kiuchumi inayokubalika (halali).

Ili serikali yetu ifanikiwe katika zoezi hila la kutanua wigo wa walipa kodi ni lazima kufanya na kuhimiza yafuatayo;

Kwanza,Kutambua wananchi wote nchini na kuhakikisha sekta zote zinatambulika (rasmi na isiyo rasmi).Kuhakikisha kila Mtanzania kaorodheshwa na kupewa kitambulisho cha uraia kutoka NIDA.

Pili,kila Mwananchi wa Tanzania kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi ili ushuru na Kodi mbalimbali za serikali (direct tax) zinazomhusu ziwekwe kwenye akaunti yake (TIN) hii itaongeza motisha kwani atapata rekodi kamili ya mchango wake kwa Taifa na atakuwa na sababu ya kuhoji na kudai huduma bora zaidi kutoka serikalini.Na kwa siku za mbele kila Mwananchi aweze kujikadiria kodi yake kila mwaka.

Tatu,matumizi ya TEHAMA katika ukusanyaji wa taarifa na malipo ya kodi na tozo mbalimbali za serikali.

Nne,udhibiti wa mianya ya kodi, bado biashara nyingi hazilipi kodi stahiki. Na hapa panahitaji ukali kwani hili kundi "linamiliki" wanasiasa na media kuwatetea na kueneza propaganda.Na hapa mianya ipo kwenye kodi zote yaani za ndani na forodha.

Tano,RUSHWA.

Zaidi ya yote inahitajika uzalendo wa hali ya juu pale ambapo chanzo kipya cha mapato kinapendekezwa kijadiliwe kwa hoja kwa manufaa ya Taifa pasipo kuleta siasa za ulaghai.

Nawasilisha.
Mfano tu, mimi simu yangu ya kiganjani siitumii kibiashara. Najua nakatwa kodi haramu kwenye vifurushi ambayo si rafiki na sina uhakika kama inaingia serikalini. Huko ni kupanua wigo au kubakwa? Maana yangu hakuna hiari wala uelewa wa kufurahia kulipa kodi kwa faida ya kulipa kodi.
Kutozwa kodi tena kodi kubwa huduma muhimu kama mawasiliano bila ushirikishi ni sawa na ubakaji. Anayebakwa hana namna ya kujitetea.
SERIKALI INACHUMA LAANA SI KODI.
 
Kitisho kingine utasikia "huyu ni muwekezaji asisumbuliwe" halipi kodi halafu baada ya miaka miachahe anafunga biashara kwa kujitangaza mufilisi
Leo angalau umekuja na hoja nzuri,sio yale mambo yenu ya ushabiki.Tukirudi kwenye mada nakubaliana na wewe hasa unaposema "inaleta maana zaidi ikitafsiriwa kiuchumi na sio kisiasa".
Ukweli ni kwamba watu wengi hawalipi kodi ingawa wanao uwezo wa kulipa,na tatizo ni kwamba wanasiasa kwa kutafuta cheap popularity wanawakingia kifua,utasikia Mara wanyonge na lugha nyingine kama hizo.Hadi nchi itakapoondokana na ubabaishaji katika siasa hili tatizo haliwezi kupata ufumbuzi.
 
Kodi ni "malipo yasiyo hiyari kwa serikali"
Mfano tu, mimi simu yangu ya kiganjani siitumii kibiashara. Najua nakatwa kodi haramu kwenye vifurushi ambayo si rafiki na sina uhakika kama inaingia serikalini. Huko ni kupanua wigo au kubakwa? Maana yangu hakuna hiari wala uelewa wa kufurahia kulipa kodi kwa faida ya kulipa kodi.
Kutozwa kodi tena kodi kubwa huduma muhimu kama mawasiliano bila ushirikishi ni sawa na ubakaji. Anayebakwa hana namna ya kujitetea.
SERIKALI INACHUMA LAANA SI KODI.
 
Ndugu zangu,

Leo nimeona umuhimu wa kutoa elimu ya nini maana ya dhana "kutanua wigo wa Kodi" (broadening tax base).Nini maana yake?inajumuisha mambo gani?haijumuishi mambo gani?Faida zake kwa serikali,ikumbukwe "kutanua wigo wa kodi" ina maana zaidi ikitafsiriwa kichumi na sio kisiasa:

Nini maana ya kutanua "wigo wa kukusanya kodi" (broadening tax base)?Tafsiri yake kiuchumumi ni kuhakikisha kila chanzo cha kiuchumi katika nchi kinatozwa Kodi stahiki kwa namna ambayo haipendelei sekta,mtu nk.

Je,kutanua wigo wa kodi kunajumuisha mambo gani?kunajumuisha kutokadiria Kodi kwa upendeleo ili kuruhusu ushindani wa haki kwa waagiza mizigo na Wafanyabiashara,kutoegemea bidhaa au sekta moja katika kutoza kodi, mtu au bishara ilipe kodi kutokana na ukubwa wa mapato yake nk.

Je,kutanua "wigo wa kodi" hakujumuishi mambo gani?dhana hii haijumuishi yafuatayo; misamaha ya kodi,ubaguzi na upendeleo nk.

Kutanua wigo wa kodi kuna manufaa yafuatayo kwa serikali; usawa katika ulipaji wa kodi, mapato ya uhakika na makubwa nk.

Mambo muhimu ya kuzingatia kila tunapojadili dhana ya "kupanua wigo wa kodi" ni kuwa kodi yoyote mpya inayotambulishwa kwenye nchi inalipwa na mtu/biashara na kutoka kwenye chanzo cha kiuchumi katika nchi. hivyo basi ili kupendekeza aina mpya ya kodi lazima ujue mlipaji ni Mwananchi/biashara na chanzo chake ni shughuli ya kiuchumi inayokubalika (halali).

Ili serikali yetu ifanikiwe katika zoezi hila la kutanua wigo wa walipa kodi ni lazima kufanya na kuhimiza yafuatayo;

Kwanza,Kutambua wananchi wote nchini na kuhakikisha sekta zote zinatambulika (rasmi na isiyo rasmi).Kuhakikisha kila Mtanzania kaorodheshwa na kupewa kitambulisho cha uraia kutoka NIDA.

Pili,kila Mwananchi wa Tanzania kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi ili ushuru na Kodi mbalimbali za serikali (direct tax) zinazomhusu ziwekwe kwenye akaunti yake (TIN) hii itaongeza motisha kwani atapata rekodi kamili ya mchango wake kwa Taifa na atakuwa na sababu ya kuhoji na kudai huduma bora zaidi kutoka serikalini.Na kwa siku za mbele kila Mwananchi aweze kujikadiria kodi yake kila mwaka.

Tatu,matumizi ya TEHAMA katika ukusanyaji wa taarifa na malipo ya kodi na tozo mbalimbali za serikali.

Nne,udhibiti wa mianya ya kodi, bado biashara nyingi hazilipi kodi stahiki. Na hapa panahitaji ukali kwani hili kundi "linamiliki" wanasiasa na media kuwatetea na kueneza propaganda.Na hapa mianya ipo kwenye kodi zote yaani za ndani na forodha.

Tano,RUSHWA.

Zaidi ya yote inahitajika uzalendo wa hali ya juu pale ambapo chanzo kipya cha mapato kinapendekezwa kijadiliwe kwa hoja kwa manufaa ya Taifa pasipo kuleta siasa za ulaghai.

Nawasilisha.
ASANTE SANA KWA BANDIKO ELIMISHI. UBARIKIWE!
 
Back
Top Bottom