Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Don nyimbo zako mbona sizipati iTune na Audiomack??
Don huwa nakukubali Sana mkuu
Pamoja na Ile video yenye wadada wenye mizigo ya haja!!
kisandu nimependa English yako
na ule wimbo wako wa Hepibasidei tuyu ni mkali sana
Hivi Deo unameneja kweli? Wewe nataka nikumeneji tuusogeze mziki wako mbele ya safari