Maana halisi ya msemo "If you can't beat them join them" kwa mazingira ya hapa Tanzania

Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
150
Habari wana jamii

Hii methali ya kiingeleza " If you can't beat them join them. Hii inamaana kwamba ukiona unayegombana nae amekuzidi nguvu; kete au mbinu na kila kitu huna haja ya kunyoosha mikono juu na kujisalimisha au kutimua mbio bali yakufaa kuomba msamaha na kuwa rafiki yake na kuungana nae. Ukijifanya nunda au mjuaji utapigwa kwa aibu na kufa kifo cha aibu.

Hiki ndo kitu kinachofanyika kwa sasa hapa nchi kwa upande wa siasa. Vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vimeanza kutekeleza huu msemo kwa chama kongwe chama kisiki CCM.

Leo hii tunaona viongozi wengi wa upinzani madiwani kwa wabunge wakikimbilia CCM kwa sababu mbali mbali kuu kubwa ikiwa ni ile ya kumuunga mkono Mh. Rais kwa kazi anayoifanya.

Watanzania; hao wote wanaohamia CCM wote msiwashangae kuwa eti wamenunuliwa hamna. Wao wana Akili tena sana wanafikilia hii methali " if you don't beat them join them". Wanaona uchaguzi unaokuja hawataambulia kitu. Watapata ubatizo wa Moto kama anavyosema Mzee Yusuph Makamba. Wanaona kuw kwa sasa CCM kumenoga. Mambo yako mwelele.Mambo yako sawiya na wananchi wanakubali yanayofanya na CCM kwa sasa. Kwa hiyo wanaona wakijifanya kubana upinzani wanaona kuwa watashindwa kw aibu kwenye uchaguzi wa 2020. Hivyo basi waaona bora yaishe na wajiunge mapema kabla hawajapoteza nguvu zao na mali zao kwenye Kampeni.

Huu wamzi wa kukubali yaishe na kujiunga na mhasimu wako ni uwamzi wa busara sana. Kwani unaogopa kuaibika kwani unajua kuwa utapigwa tu na kushidwa. Mara nyingi wanaofanya uwamzi huu ni wale ambao wameshaona mwisho wa mapambano unakuweje baada ya kuona umeishiwa uwezo. Kwa sasa wapinzani wanaohamia CCM nawasifu sana maana ni wajanja sana. Hongera kwa wote walokwisha fany hivo.

Hata wewe mwenye unayenisoa; Je upinzani hapa nchini wana chao kweli kwa sasa? Naomba usinijibu ila tu wewe mwenyewe unaona picha halisi.

Leo hii CCM wanafanya viko vyao pale Dodoma nchi nzima imesisimka. wananchi wote wako na tension yakiachi jili. Mambo yako mbashala tena kwa uwazi. Na si leo tu tuseme wiki ilopita yote pale dodoma mambo yalikuwa mchaka mchaka mkoa wote ulikuwa unanukia kiCcm ccm.

Jamani hapa nchini Tanzania huwezi kutenganisha CCM na maisha ya Watanzania hasa kwa sasa kwenye hii awamu ya tano.

Wapinzani bado nawakumbusha tu kwa bure: If you don't beat them join them.
 
Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
150
Habari wana jamii

Hii methali ya kiingeleza " If you don't them join them. Hii inamaana kwamba ukiona unayegombana nae amekuzidi nguvu; kete au mbinu na kila kitu huna haja ya kunyoosha mikono juu na kujisalimisha au kutimua mbio bali yakufaa kuomba msamaha na kuwa rafiki yake na kuungana nae. Ukijifanya nunda au mjuaji utapigwa kwa aibu na kufa kifo cha aibu.

denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,108
2,000
Kabla ya yote, kamuulize aliyekuambia huo msemo kama ndivyo unavyoandikwa au ni wewe mwenyewe ndio umetunga yako?
Teheheheh mzazi aliuza mahindi na mpunga akijua mtoto amesoma na kufaulu, kumbe alikuwa anasomesha "bata mzinga" seikoko.
Pitia upya post yako neno baada ya neno utuambie umegundua nini.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,974

If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Paskali
 
successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,085
2,000
Hao
Kabla ya yote, kamuulize aliyekuambia huo msemo kama ndivyo unavyoandikwa au ni wewe mwenyewe ndio umetunga yako?
Teheheheh mzazi aliuza mahindi na mpunga akijua mtoto amesoma na kufaulu, kumbe alikuwa anasomesha "bata mzinga" seikoko.
Pitia upya post yako neno baada ya neno utuambie umegundua nini.
Hao ndio makada wa ccm
 
mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
1,000
Tangu Hapa Ndipo Nilipokugundua Upo Upande Gani!!!
Mkuu Pascal Endelea Kupigania Tumbo Lako Tu! Kama Darwin Alivyosemaga " STRUGGLE FOR EXISTANCE"

ded12d853cd18ec7293f32d534bfdcfd.jpg
 
Uchira 1

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
2,077
2,000
:):):):):) duh najua tatizo watoto wa sikuhizi hamjui kitu kinaitwa propaganda na ndo maana hata ukiona yote haya hujui kitu.huwezi kumkubali mtu ndo uhame chama ila kumkubali mtu unaweza sema pia kuonesha kwa matendo kuwa umeelewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom